dudus JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 25,370 Reaction score 57,943 Aug 29, 2026 #61 Natafuta Ajira said: Nani anakaimu kama mwenyekiti hayupo? Click to expand... Brother hatuelewani I think.
Natafuta Ajira said: Nani anakaimu kama mwenyekiti hayupo? Click to expand... Brother hatuelewani I think.
D dos.2020 Platinum Member Joined Feb 17, 2009 Posts 14,866 Reaction score 12,613 Aug 29, 2026 #62 Blue Bahari said: Hizo Sheria zinakuwa na maagizo 'toka juu. Click to expand... hayo ni matetizo mengine, sheria inaruhusu, kushindwa kufanya hayo ni matatizo yao wenyewe tena
Blue Bahari said: Hizo Sheria zinakuwa na maagizo 'toka juu. Click to expand... hayo ni matetizo mengine, sheria inaruhusu, kushindwa kufanya hayo ni matatizo yao wenyewe tena
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,705 Reaction score 30,041 Aug 29, 2026 #63 Titicomb said: Akili kubwa ambayo inapunguza uwajibikaji? Maana huyo kiongozi anajuwa hawezi kuondolewa hata akosee vipi. No accountability. Click to expand... Hiyo ni akili kubwa kwa Ccm
Titicomb said: Akili kubwa ambayo inapunguza uwajibikaji? Maana huyo kiongozi anajuwa hawezi kuondolewa hata akosee vipi. No accountability. Click to expand... Hiyo ni akili kubwa kwa Ccm
Keynez JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 3,809 Reaction score 6,948 Aug 29, 2026 #64 Lolote linawezekana katika shithole country. Kwani wale Covid-19 walibakije bungeni?