Ikitokea kenya wakachoma mabank zikiwemo pesa hasara inakuwa ya nani na nani atalipa?

umenikumbusha
wale wezi wa mbagala, waliiba ATM, wakatokomea nayo, wakaipiga bomu , hakuna kilichotoka
 
Insurance company itawalipa wananchi na mabenk kwa hiyo hasara itakuwa kwa insurance company na serikali.
 
BANK ziko n BIMA. Na sio VIKOBA





KAZI ni kipimo cha UTU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…