Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,560
Ngoja tusikie maoni yao,wakiridhia tuwapigie kampeni.Hahahaa. Nimewawazia tu ila kama wanaupenda basi nitawapitisha rasmi.
Si unajua tena idara nyingine zinataka moyo sababu hazina kulog out jf yaani kila saa inatakiwa kuchungulia kama umbea upo. Lol
Hahahaa. Ndio. [emoji12]Umeonaeeeee...ubuyu unaliwa muda wowote na hauleti madhara.
Hahhaaa. Ule wa KUSUNTANA ndio waupenda weyee eeee? Basi usijali rafiki inabidi wakuweke tu kwa kweli.Tena niweke namba moja kabisaa,ubuyu mtamu. Raha ya ubuyu kusuntana
Hahhaaa. Ule wa KUSUNTANA ndio waupenda weyee eeee? Basi usijali rafiki inabidi wakuweke tu kwa kweli.
Ewaaaaaaaa. Huo ndio wenyewe.Huo ndo mzuri,kusunta kwa fact
Kuna dada mmoja hivi anaitwa miss zomboko hua akileta habari humu ni kubwa kubwa tena ga sehemu nyeti.Habari wana jamvi.
Haya maswala ya ubuyu, aka ushilawadu yanazidi kushamili kwa kasi hapa nchini. Haipiti saa wala dakika ukakosa kuuona ubuyu mitandaoni, hi inaonesha wazi kuwa vijana wamehamasika zaidi na mambo haya ya ubuyu. Je ikitokea wizara hiyoooo ya ubuyu mkali wako ambae unaona ataitendea haki wizara hiyo kutoka hapa hapa jukwaa pendwa la JF, wewe utampendekeza naniiiiii?
😀😀😀😀😀😀😀😀
Mi hapo sijaona hata mmojaBeef lasagna dinazarde witness j mzigua 90 hawa wanafaa sana kusimamia hiyo wizara
Ilo punga litafiti vizur apoGentamycine!
Kila mtu ana mtazamo wakeMi hapo sijaona hata mmoja
Ya ni kweli hata mimi ilikuwa ni mtazamo wanguKila mtu ana mtazamo wake
Mzigua 90 hapo umekosea huyu Dada mstaharabu sana hana mambo ya umbea umbea... [emoji4]Beef lasagna dinazarde witness j mzigua 90 hawa wanafaa sana kusimamia hiyo wizara
Huku hapana kipenzi sina hobby hii kabisa najitahidi lkn mh wapi nachemkaga vbyHahahaaa. Ndio ujizoweshe shoga kuupenda, sababu siku zote ubuyu una ladha yake hasa ule wenye pili pili kwa mbaali. Teh teh.
Mahaba yako kwake yamekufunika wachangiaji wa celebrity forum ndo hasa wanaijua hiyo kazi ya ubuyu mtafute jukwaa hilo hao nilokutajia utaona michango yao mule ndipo utajua kwanini nimependekeza haoMzigua 90 hapo umekosea huyu Dada mstaharabu sana hana mambo ya umbea umbea... [emoji4]
Wanione tu kila mtu kuna apendachoKapeace wana JF wanakuona.
Hahaaa. Umekuwa ka mie yaani kila nikijitahidi lakini wapi najiona natoka kapa tu.Huku hapana kipenzi sina hobby hii kabisa najitahidi lkn mh wapi nachemkaga vby
[emoji15] [emoji15] [emoji87]Mahaba yako kwake yamekufunika wachangiaji wa celebrity forum ndo hasa wanaijua hiyo kazi ya ubuyu mtafute jukwaa hilo hao nilokutajia utaona michango yao mule ndipo utajua kwanini nimependekeza hao