Ikitokea kuanzishwa wizara ya umbea member gani wa JF anastahili kuwa waziri?

Ikitokea kuanzishwa wizara ya umbea member gani wa JF anastahili kuwa waziri?

Hahahaa. Nimewawazia tu ila kama wanaupenda basi nitawapitisha rasmi.

Si unajua tena idara nyingine zinataka moyo sababu hazina kulog out jf yaani kila saa inatakiwa kuchungulia kama umbea upo. Lol
Ngoja tusikie maoni yao,wakiridhia tuwapigie kampeni.
 
Habari wana jamvi.
Haya maswala ya ubuyu, aka ushilawadu yanazidi kushamili kwa kasi hapa nchini. Haipiti saa wala dakika ukakosa kuuona ubuyu mitandaoni, hi inaonesha wazi kuwa vijana wamehamasika zaidi na mambo haya ya ubuyu. Je ikitokea wizara hiyoooo ya ubuyu mkali wako ambae unaona ataitendea haki wizara hiyo kutoka hapa hapa jukwaa pendwa la JF, wewe utampendekeza naniiiiii?
😀😀😀😀😀😀😀😀
Kuna dada mmoja hivi anaitwa miss zomboko hua akileta habari humu ni kubwa kubwa tena ga sehemu nyeti.
 
Mahaba yako kwake yamekufunika wachangiaji wa celebrity forum ndo hasa wanaijua hiyo kazi ya ubuyu mtafute jukwaa hilo hao nilokutajia utaona michango yao mule ndipo utajua kwanini nimependekeza hao
[emoji15] [emoji15] [emoji87]
Eti unasema nikasubscribe kabisa kule celeb forum ili nijionee ubuyu anaotoa
" Mzigua 90 "
Bado hujanishawishi moyo wangu unadai huyu Dada hana tabia hizo namuelewa. [emoji85] [emoji4]
 
Back
Top Bottom