Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #101
Kuitwa kuhojiwa ni kwa yule Andunje, lakini kwa naniliu mwenyewe ni unapotezewa!, hata unyele tuu...Sawa mkuu, ila mama siyo dikteta uchwara, hatuwezi kuitwa kuhojiwa.
Huyu mwana jf aliposema hivi...
Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali
Safari inaendelea. Vitisho. Haya ndiyo maisha yetu ya Kila siku. Mengine tumetoa Ripoti Polisi huko Kuna watu hawa miongoni mwa wengi. Yeye anaandika "Ben Saanane unachokitafuta ndani ya Serikali hii utakipata. Kwa elimu na uwezo wako hatukutarajia ungefikia hatua ya ajabu kwa namna uliyofikia...
Siku hizi ni mambo burudani tuu, watu wanatiririka tuu hakuna Shaka.
P