Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu?

Sawa mkuu, ila mama siyo dikteta uchwara, hatuwezi kuitwa kuhojiwa.
Kuitwa kuhojiwa ni kwa yule Andunje, lakini kwa naniliu mwenyewe ni unapotezewa!, hata unyele tuu...
Huyu mwana jf aliposema hivi...
Tulidhani anatania...
Siku hizi ni mambo burudani tuu, watu wanatiririka tuu hakuna Shaka.
P
 
Punguza pombe Kali, bangi na shisha.

Vitu vingine siyo lazima kuandika. Kuna ulazima gani kuandika Kila wakati na Kila kitu unachohisi?
 
Kuitwa kuhojiwa ni kwa yule Andunje, lakini kwa naniliu mwenyewe ni unapotezewa!, hata unyele tuu...
Huyu mwana jf aliposema hivi...
Tulidhani anatania...
Siku hizi ni mambo burudani tuu, watu wanatiririka tuu hakuna Shaka.
P
Tutakuwa na amani iwapo tu wakina Kingai na genge lake wakina Mahita wakichukuliwa hatua tofouti na hapo kupotezwa kupo palepale
 
Wewe mzee muhuni sana..
Mkuu nyboma tafadhali sana ntake radhi kuniita mhuni. Mwenzako najipanga kufungua kanisa, hapa nilipo nimeishavuka 50, idadi yangu mpaka sasa hata 50 hawafiki, unaniita muhuni, jee Mfalme Suleiman mwenye wake 800 na vimada ,200 ungemuitaje?.
Acha kuchafua watu kwa kuwaita wahuni eti kwasababu tuu wanapenda macho!.

Samahani Paskali, nilidhani unamaanisha macho kodo..
 
Apology accepted.
Nimepata Amani sana!. Sasa mchakato wa kuanzisha kanisa langu unaendelea.
P
Nakuombea kheri ufanikishe hitaji lako la moyo ila uwe makini sana maana kondoo wa bwana kuna muda wanakuwa na vishawishi tusije ishia kwenyw amri ile..
 
Wana MMU,

Salaam.

Sisi binaadamu kila mtu ana kitu chake apendacho ndani ya moyo wake, na kila akikiona hicho apendacho, anakuwa roho kwatu!.

Nina swali, inapotokea wewe unapenda macho, halafu kukatokea kuna kiongozi fulani mwanamke ana jicho hilo!, wewe unapenda jicho, ukimuona huyo mwenye jicho, unafurahi na huchoki kumwangalia.

Je, kuna ubaya ukimsifia kiongozi huyo au itaonekana huo ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu, heshima na ustaarabu?.

Kama kiongozi fulani amejaaliwa kitu fulani, mfano Jokete ni mrembo, jee kuna ubaya wowote kumsifia Jokate ni mrembo?.

Nimeuliza hili swali kufuatia kuangalia ITV matangazo ya moja kwa moja, mubashara, ya Tuzo za I Can, zinazotolewa na Reginald Mengi kupitia Taasisi yake ya Reginald Mengi Foundation, inayowasaidia watu wenye ulemavu, mgeni rasmi ni kiongozi fulani mwanamke, ana jicho hilo!.

Paskali.
Leo ndio siku yenyewe ya wanawake duniani, hongera sana kwa wanawake wote duniani akiwemo Mwanamke huyu!.
P
 
Wana MMU,

Salaam.

Sisi binaadamu kila mtu ana kitu chake apendacho ndani ya moyo wake, na kila akikiona hicho apendacho, anakuwa roho kwatu!.

Nina swali, inapotokea wewe unapenda macho, halafu kukatokea kuna kiongozi fulani mwanamke ana jicho hilo!, wewe unapenda jicho, ukimuona huyo mwenye jicho, unafurahi na huchoki kumwangalia.

Je, kuna ubaya ukimsifia kiongozi huyo au itaonekana huo ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu, heshima na ustaarabu?.

Kama kiongozi fulani amejaaliwa kitu fulani, mfano Jokete ni mrembo, jee kuna ubaya wowote kumsifia Jokate ni mrembo?.

Nimeuliza hili swali kufuatia kuangalia ITV matangazo ya moja kwa moja, mubashara, ya Tuzo za I Can, zinazotolewa na Reginald Mengi kupitia Taasisi yake ya Reginald Mengi Foundation, inayowasaidia watu wenye ulemavu, mgeni rasmi ni kiongozi fulani mwanamke, ana jicho hilo!.

Paskali.
Rais Samia:

Huwa napitia Jamiiforums naangalia maoni yenu kule ndani, nasoma nnacheka,

Naamini siku alipopitaga uzi huu, Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu? sijui kama ndio alicheka, alinuna, au alikasirika...!, msikute ndio maana...!.
Duh...!, kumbe na humu Mama huwa anaingia mwenyewe in person!.

P
 
Wana MMU,

Salaam.

Sisi binaadamu kila mtu ana kitu chake apendacho ndani ya moyo wake, na kila akikiona hicho apendacho, anakuwa roho kwatu!.

Nina swali, inapotokea wewe unapenda macho, halafu kukatokea kuna kiongozi fulani mwanamke ana jicho hilo!, wewe unapenda jicho, ukimuona huyo mwenye jicho, unafurahi na huchoki kumwangalia.

Je, kuna ubaya ukimsifia kiongozi huyo au itaonekana huo ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu, heshima na ustaarabu?.

Kama kiongozi fulani amejaaliwa kitu fulani, mfano Joketi ni mrembo, jee kuna ubaya wowote kumsifia Jokate wewe ni mrembo?.

Nimeuliza hili swali kufuatia kuangalia ITV matangazo ya moja kwa moja, mubashara, ya Tuzo za I Can, zinazotolewa na Mzee Reginald Mengi kupitia Taasisi yake ya Reginald Mengi Foundation, inayowasaidia watu wenye ulemavu, mgeni rasmi ni kiongozi fulani mwanamke, ana jicho hilo!.

Paskali.
Kiongozi huyu mwenye jicho hili, besides everything else, She is a human being just like any other human being, sometimes she needs to be cheered and pampered!.
Happy Birthday
P
 
Mzee P mayalla unajizimaga data aisee.

Wasukuma Kwa hayo mambo hatujambo. Mimi nilimuomba gem mwalimu wa Kijijini kwetu akanikataa Kwa kusema Sina Hela, msimu wa kilimo nikaweka juhudi kwenye pamba so mavuno yake nikauza Kwa sh 769,000 nikabeba yote Hadi Kwa "madam". Baada ya wiki zikaisha na akanitimua.

Najipongeza Kwa kuwa nimbless mapacha na hajapata watoto wengine zaidi ya wangu.

NB watoto Wana vidole sita kama vyangu, ukucha wa miguu kama yangu na utinted kama Mimi. Wapo st vi wakilipiwa na Maza yao huku akiwa permanent mchepuko.
 
Ni baraka sana!, mimi nina 9, na naendelea kufyaatua! Changamoto za kupata mtoto mchanga ukiwa umri wa kustaafu, unakuwa ni Baba Babu. Dawa ni kujipanga kabla, vinginevyo ni kubebesha watu mizigo yako
P
 
Back
Top Bottom