Ikitokea kwako utafanyaje?


...hii ni kawaida, tena inatokea sana. Ndio maana tunashauriwa unapokuwa na grievances za ndoa (hasa nyie kina mama!) ni bora kuwa muwazi kwa mumeo, au angalau kwa ndugu wa kike wa mumeo.

Miaka ya karibuni kuna chat up line mpya zimekuwa zinatumika sana kuwanasa wanawale walio kwenye ndoa, mojawapo ikiwa ni "...unaonekana hauna furaha kwenye ndoa yako!",... IQ ya mkeo ikiwa sawa na size ya kiatu chake, mmekwisha.
 

kumbe inatokea kwa wengi! watu hawaamini hapa
 

Kitendo gani hicho? Hakuna watoto humu mom hebu eleza kwa ufasaha! Alikukaribisha chai, kisha ikakumwagikia sehemu za siri au?
 
kumbe inatokea kwa wengi! watu hawaamini hapa

Inatokea kwa wengina na inaweza kumtokea mtu yoyote ndio maana unaambiwa usifanye uhusiano sana na opposite gender ....halafu kuna dini zina kataza mwanaume na mwanamke kukutana au kukaa sehemu other than public areas.... sio unamfata mtu office kwake halafu mlango unafungwa:twitch: au unamkuta nyumbani peke yako wewe unaingia...try to avoid that...
 
Mwanaume na mwanamke hawawezi kuwa marafiki wa karibu kiasi hicho! Ukikuta ni marafiki wakubwa tena wa kawaida ujue labda ni ndugu na kama sio ndugu basi aidha demu huwa anamkuwadia jamaa! Thats all!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…