Uchaguzi una matokeo mawili makubwa, kushinda na kushindwa, na katika hayo kuna mambo mawili pia, kuridhika (kukubali) na kutoridhika (kukataa kukubali).
Lissu ninayemfahamu, huwa haamini katika kushindwa, bali kushinda.
He's such a people who believes they are always right.
Sasa ikitokea akashindwa, anaweza ku opt for two choices, Kuhamia chama kingine cha upinzani (Najua hawezi kwenda CCM maana atakuwa amekula matapishi yake mwenyewe), au Kuunda Cha kipya.
Soma Pia: Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA
Katika haya mawili naona litakalomfaa sana Lissu ni kuanzisha chama.
Akiamua kujiunga na chama chochote inawezekana sana na atapokelewa kwa bashasha kubwa ila simuoni akidumu humo haswa hasa kama hatakuwa na authority.