Criss
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 1,959
- 3,172
Lisemwalo lipo na kama halipo laja , huu ni msemo tuliyousikia tangu enzi na enzi.
Kutokana na yanayoendelea mitaani na mitandaoni inaonyesha kuwa nyuma ya CHAUMMA kuna Mbowe , anyway zinaweza kuwa ni hisia tu na pengine ikawa ni kweli .
Watu wengi hawaonyeshi kustushwa hata ikitokea MBOWE amehamia CHAUMMA na zaidi wengine wanatamani hata ahamie kesho maana nikama anaonekana hana msaada kwenye chama kutokana na haya yanayo endelea.
swali ninalokutana nalo mara nyingi ni hili .
Hivi ikitokea MBOWE amehamia CHAUMMA je! Ile nafasi yake yakikatiba chamani bado itaendelea kuwapo (kwakuwa nae ni miongoni mwa waasisi) au laa