Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,079
- 4,893
Mpagani haamini Uwepo wa Mungu hivyo hapaswi kumtaja.Atainua mkono juu na kusema e mwenyezi mungu nisaidie
Kingunge alikuwa anaapa kavu kavu.Mpagani haamini Uwepo wa Mungu hivyo hapaswi kumtaja
Yes mkuu na tuombe uapisho wa namna hii uwepo nchini mwetu,wakuu waape kulinda KATIBA sio utiifu kwa no 1Kingunge alikua anatumia katiba kuapa.
Wanamtaja MUNGU huku wanaenda kuiba pesa za ummaKingunge alikuwa anaapa kavu kavu.
Kwenye kiapo kuna maneno NAAPA na NATHIBITISHA na mwishoni sidhani kama ni lazima kusema Ee Mungu nisaidie.
Unaapa kwa kutumia Katiba alikuwa anafanya mzee KingungeWadau kuuliza sio ujinga ni kutaka kujua.
Endapo mteuliwa ni MPAGANI ina maana asiyeamini Uwepo wa Mungu na Vitabu vya Viapo ni Viwili Quran na Biblia e mteuliwa uapa kwa Kutumia Kitabu gani au huandaliwa kiapo Maalumu?
Ni kwel kabisa atafatishwa na maneno ya kiapoAtainua mkono juu na kusema e mwenyezi mungu nisaidie.
Kumbuka ni mtu asiyeamini uwepo wa Mungue mwenyezi mungu
Tunapinga wanasiasa kuapa kwa vitabu vya dini waape kwa katiba.
Jiwe,sabaya, bashite nk waliapa kwa vitabu vya dini na wakavinajisi
"Eeh mizimu ya babu yake na babu yangu naomba mnisaidie kuisimamia na kuilinda katiba ya nchi yangu kwa mujibu wa cheo changu"..nk. mwisho anamalizia "eeh mizimu nisaidieni" Mbona kuapa kipagani ni simple tu ndugu yangu.
Kwani Mungu anazungumzwa katika biblia na Korani tukufu tu ?Mpagani haamini Uwepo wa Mungu hivyo hapaswi kumtaja.
Waislam pia huwa hawaapi huwa wanathibitishaWadau kuuliza sio ujinga ni kutaka kujua.
Endapo mteuliwa ni MPAGANI ina maana asiyeamini Uwepo wa Mungu na Vitabu vya Viapo ni Viwili Quran na Biblia e mteuliwa uapa kwa Kutumia Kitabu gani au huandaliwa kiapo Maalumu?