Kama haamini vyote je akifa anazikwaje? Na akihitaji msaada wa kiroho anaombaje?Mpagani ni mtu asieamini katika Mungu wala mizimu
Anaweza kumtaja mungu wake anaye mwamini,maana miungu wako wengi,"Eeh mizimu ya babu yake na babu yangu naomba mnisaidie kuisimamia na kuilinda katiba ya nchi yangu kwa mujibu wa cheo changu"..nk. mwisho anamalizia "eeh mizimu nisaidieni" Mbona kuapa kipagani ni simple tu ndugu yangu.
miungu ni wengi,sio lazima aape kwa Mungu wa mbinguniKumbuka ni mtu asiyeamini uwepo wa Mungu
Wapagani wapo wengi tu sema majina ya dini yanawabeba!Wadau kuuliza sio ujinga ni kutaka kujua.
Endapo mteuliwa ni MPAGANI ina maana asiyeamini Uwepo wa Mungu na Vitabu vya Viapo ni Viwili Quran na Biblia e mteuliwa uapa kwa Kutumia Kitabu gani au huandaliwa kiapo Maalumu?
Mbona wapagani nao wanaapa kwa hivyo hivyo vitabu pendwa! Kama unabisha tazama MATENDO, MAAMUZI NA KAULI!!Ikiwa tumenchagua mtu asiekua na dini tutatafuta namna ya kumuapisha.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Ikiwa tumenchagua mtu asiekua na dini tutatafuta namna ya kumuapisha.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Ataapishwa kwa jina la jamuhuri ya bongolandWadau kuuliza sio ujinga ni kutaka kujua.
Endapo mteuliwa ni MPAGANI ina maana asiyeamini Uwepo wa Mungu na Vitabu vya Viapo ni Viwili Quran na Biblia e mteuliwa uapa kwa Kutumia Kitabu gani au huandaliwa kiapo Maalumu?
Kumtaja sio kosa ndio maana wachungaji feki wanamtaja na kupiga hela tuMpagani haamini Uwepo wa Mungu hivyo hapaswi kumtaja.
Kama haamini vyote je akifa anazikwaje? Na akihitaji msaada wa kiroho anaombaje?
Hayo ni maneno ya Mwl. Nyerere katika kusisitiza umuhimu wa kiapoIkiwa tumenchagua mtu asiekua na dini tutatafuta namna ya kumuapisha.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Wapo wasioamini Mungu Wala mizimu"Eeh mizimu ya babu yake na babu yangu naomba mnisaidie kuisimamia na kuilinda katiba ya nchi yangu kwa mujibu wa cheo changu"..nk. mwisho anamalizia "eeh mizimu nisaidieni" Mbona kuapa kipagani ni simple tu ndugu yangu.
Utashauriwa uachane na utwala wa umma ambao wengi wana dini zao, ukaendelee na upagagani wako!Wadau kuuliza sio ujinga ni kutaka kujua.
Endapo mteuliwa ni MPAGANI ina maana asiyeamini Uwepo wa Mungu na Vitabu vya Viapo ni Viwili Quran na Biblia, mteuliwa huapa kwa Kutumia Kitabu gani au huandaliwa kiapo Maalumu?
Ni kweli Kingunge alikuwa anaapa bila ya kuwa na biblia wala msahafu. Akinyoosha mkono tu.Kingunge alikuwa anaapa kavu kavu.
Kwenye kiapo kuna maneno NAAPA na NATHIBITISHA na mwishoni sidhani kama ni lazima kusema Ee Mungu nisaidie.
Kitimoto anadislike kwa yeyote aliyemsema Kingunge. Labda ni babu yake.We Kitimoto.
Nimehoji vipi wasioamini Mungu Wala mizimu wanaapa vipi?
Umedislike...kwanini sasa. Hebu nikosoe nikuelewe
Mi wala sijamsema kingunge na sina tatizo na imani yoyote na mtu awe anamwamini Mungu, mizimu au haabudu chochote ni sawa tu. Nilitaka tu kufahamu.Kitimoto anadislike kwa yeyote aliyemsema Kingunge. Labda ni babu yake.