Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Bado hujachelewa fani hizo Hazina kikomo!Sasa hivi nikirudi shule nitasomea udaktari wa wanawake na kuwa mhadhiri.
Yani hizo fani mbili ndio ndoto yangu. Kuwa daktari wa wanawake na mhadhiri.
adriz
Apo lazma kenge akubusu kwakwel😊Sasa hivi nikirudi shule nitasomea udaktari wa wanawake na kuwa mhadhiri.
Yani hizo fani mbili ndio ndoto yangu. Kuwa daktari wa wanawake na mhadhiri.
adriz
Labda anataka awe daktari na muhadhiri,apasue Sasa!Hapo fani ni hiyo moja ya udaktar