Ikitokea tukapewa nafasi nyingine, Prof. Janabi anafaa kuwa Mbadala katika nafasi ya Faustine Ndugulile DG-WHO

Umahiri wa kitaaluma, uzoefu wa kazi na uongozi unafanya Professor Janabi kuwa Mtanzania pekee mwenye kufaa kumrithi Dr Faustine Ndugulile (RIP) huko WHO Regional Office - Brazzaville. Asanteni
He....😳
Huyu si atasema duniani watu wasile...😜
 
Dr kisenge atatufaa sana maana Bado ni kijana tofauti na janabi amezeeka sana.
 
HUO UJINGA MKAE NAE HUKO HUKO. MSIDHANI WOTE NI VILAZA.
 
Kwani kwako ni kt gani gani kina tija?
Vipaumbele vya Taifa…kukemea rushwa,kutimiaza ilani ya chama ili kuleta maendeleo nchini….kupunguza vifo vya mama na watoto,utawala wa sheria….vingi mno vyenye tija na taifa kuliko hzo drama zenu za WHO
 
WHO siyo hospitali jamani.
 
Hatimae amependekezwa ahsante Mheshimiwa Rais kwa kuona jambo hili nililopendekeza
 
Hivi hyo nafas ina tija gan kwa hili Taifa?!! Naombeni kueleweshwa..
Faida ya mwanchi kuajiriwa katika taasisi za kimataifa huzijui?
Kwa hii specifically:
1. anapata nafasi ya kuajiri watu kadhaa toka nchini mwake
2. mkewe/mumewe nae analipwa % fulani ya mshahara wa DG.
3. Watoto wake wanasomeshwa(hapa usiseme atafaidi yeye na wanae tu)
4. Diplomasia ya nchi inatangazwa
5 n. k
 
Vicheko fc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…