round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
Nilipomaliza form 6 sikujua vizuri cha kwenda kusomea chuoni, Nilisoma kozi nayoipenda bila kulisoma soko la ajira, connections, n.k. Mbaya zaidi nilisoma chuo cha private hakina uzito, isingekuwa shida kama ningepata mkopo ila nikizifikiria milioni 12 za wazazi naumiaga, nimejipata nje kabisa ya taaluma niliyosomea
Kutokuwa na ujuzi wowote wa kujitegemea mpaka namaliza chuo, sikuwahi kujifunza pikipiki, sikuwahi kujifunza kunyoa, sijui udalali, sijui kupiga rangi nyumba, n.k. nilipomaliza chuo niliondoka nyumbani kwenda kutafuta maisha bila ujuzi wowote, nilijifunza kwa taabu sana kujitegemea
KUHONGA - Nilipoteza muda mwingi sana kwenye mahusiano yasiyo serious, kuhonga ama kununua mahusiano ni kitu kilichopoteza pesa zangu nyingi kwa kipindi kile wakati bado najitafuta, meseji za baby naomba 30 kwajili ya tatizo xxxx nikijua kabisa ni la kutunga ila ndo ivyo tena zimenitoboa sana mfuko