Ikitokea umefukuzwa kazi au kufirisika ghafla! Plan B yako ni ipi kupambana na maisha?

Ikitokea umefukuzwa kazi au kufirisika ghafla! Plan B yako ni ipi kupambana na maisha?

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
5,315
Reaction score
13,269
Habari wakuu!

This is a lateral thinking question!
black-guy-stressing-and-headache.jpg
(picha kutoka mtandaoni; chanzo stock photos)

Ikitokea umefukuzwa kazi ghafla, au umefilisika ghafla ! Plan B yako ya kunyanyuka tena kiuchumi ni ipi?
 
Mtaji wa masikini n nguvu zake mwenyewe.

Binafsi napiga kazi za nguvu kama kawaida kikubwa natengeneza pesa, hakuna kukaa kizembe kutia tia huruma.

Ni heri kuchafuka ukitegemea kupata chochote kuliko kuwa smart siku nzima bila ya kuingiza chochote.

Ukiwa wakiume kaza na usichague kazi halali.

Kwenye suala la kazi inayokupa mahitaji yako aibu weka pembeni, hakuna kudhalilika kisa unafanya kazi ya aina fulani. Piga kazi.

Nilitaka kusahau " NO NINI?
 
plan B section 1
Tuma kwenye namba hii mana Majinga bado n meng
plan B section ||
Gunia la mahind n 80000 la bangi Ml 2 Mshajua ntalima nn Mpka apo.
 
FID Q - Mafanikio

Kuanzia ulipo, sio sawa na kubakia ulipo.
Nikisema chini hapana na maana fanya unyanyuke,
Na ukiamini umesimama mwana, komaa usianguke.


Ukijituma na neema inakaribia,
Nyuma walo-give up mapema wangekaza wangeifikia...

Kibongobongo longolongo shazi,
Endelea kusaka mchongo, hata ukipata kazi.
 
Back
Top Bottom