OMOYOGWANE JF-Expert Member Joined Dec 30, 2016 Posts 5,315 Reaction score 13,269 Jun 7, 2025 #1 Habari wakuu! This is a lateral thinking question!(picha kutoka mtandaoni; chanzo stock photos) Ikitokea umefukuzwa kazi ghafla, au umefilisika ghafla ! Plan B yako ya kunyanyuka tena kiuchumi ni ipi?
Habari wakuu! This is a lateral thinking question!(picha kutoka mtandaoni; chanzo stock photos) Ikitokea umefukuzwa kazi ghafla, au umefilisika ghafla ! Plan B yako ya kunyanyuka tena kiuchumi ni ipi?
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 46,410 Reaction score 114,823 Jun 7, 2025 #2 Mtaji wa masikini n nguvu zake mwenyewe. Binafsi napiga kazi za nguvu kama kawaida kikubwa natengeneza pesa, hakuna kukaa kizembe kutia tia huruma. Ni heri kuchafuka ukitegemea kupata chochote kuliko kuwa smart siku nzima bila ya kuingiza chochote. Ukiwa wakiume kaza na usichague kazi halali. Kwenye suala la kazi inayokupa mahitaji yako aibu weka pembeni, hakuna kudhalilika kisa unafanya kazi ya aina fulani. Piga kazi. Nilitaka kusahau " NO NINI?
Mtaji wa masikini n nguvu zake mwenyewe. Binafsi napiga kazi za nguvu kama kawaida kikubwa natengeneza pesa, hakuna kukaa kizembe kutia tia huruma. Ni heri kuchafuka ukitegemea kupata chochote kuliko kuwa smart siku nzima bila ya kuingiza chochote. Ukiwa wakiume kaza na usichague kazi halali. Kwenye suala la kazi inayokupa mahitaji yako aibu weka pembeni, hakuna kudhalilika kisa unafanya kazi ya aina fulani. Piga kazi. Nilitaka kusahau " NO NINI?
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 Jun 7, 2025 #3 Ni kuwa jambazi tuu
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Jun 7, 2025 #4 INA MAANA SAMIA ANATAFUTA PLAN B SASA 2025
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 15,331 Reaction score 22,307 Jun 7, 2025 #5 OMOYOGWANE said: Habari wakuu! This is a lateral thinking question! Ikitokea umefukuzwa kazi ghafla, au umefilisika ghafla ! Plan B yako ya kunyanyuka tena kiuchumi ni ipi? Click to expand... Kulima na kuuza genge la vitu!
OMOYOGWANE said: Habari wakuu! This is a lateral thinking question! Ikitokea umefukuzwa kazi ghafla, au umefilisika ghafla ! Plan B yako ya kunyanyuka tena kiuchumi ni ipi? Click to expand... Kulima na kuuza genge la vitu!
Mbeba Lawama JF-Expert Member Joined Oct 12, 2015 Posts 1,152 Reaction score 3,879 Jun 7, 2025 #6 plan B section 1 Tuma kwenye namba hii mana Majinga bado n meng plan B section || Gunia la mahind n 80000 la bangi Ml 2 Mshajua ntalima nn Mpka apo.
plan B section 1 Tuma kwenye namba hii mana Majinga bado n meng plan B section || Gunia la mahind n 80000 la bangi Ml 2 Mshajua ntalima nn Mpka apo.
Nomadiq JF-Expert Member Joined Jan 5, 2025 Posts 8,572 Reaction score 22,926 Jun 7, 2025 #7 FID Q - Mafanikio Kuanzia ulipo, sio sawa na kubakia ulipo. Nikisema chini hapana na maana fanya unyanyuke, Na ukiamini umesimama mwana, komaa usianguke. Ukijituma na neema inakaribia, Nyuma walo-give up mapema wangekaza wangeifikia... Kibongobongo longolongo shazi, Endelea kusaka mchongo, hata ukipata kazi.
FID Q - Mafanikio Kuanzia ulipo, sio sawa na kubakia ulipo. Nikisema chini hapana na maana fanya unyanyuke, Na ukiamini umesimama mwana, komaa usianguke. Ukijituma na neema inakaribia, Nyuma walo-give up mapema wangekaza wangeifikia... Kibongobongo longolongo shazi, Endelea kusaka mchongo, hata ukipata kazi.