Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhTuache bei ya chuma yenyewe, ila TRA wanataka Mil 185 ukileta hii kitu tena ya 2024. Sasa sijui ikiwa 0 kilometa kuna excuse?
View attachment 3000193
Kusema kweli kuna magari mazuri ila ushuru kichomi.
View attachment 3000195
Tukipishana nayo njiani tuwe tunaacha space. Tusije pasua taa.
Kwani bandari ni moja tu? Ata mombassa ipo tutatumia ya kenya.Tuache bei ya chuma yenyewe, ila TRA wanataka Mil 185 ukileta hii kitu tena ya 2024. Sasa sijui ikiwa 0 kilometa kuna excuse?
View attachment 3000193
Kusema kweli kuna magari mazuri ila ushuru kichomi.
View attachment 3000195
Tukipishana nayo njiani tuwe tunaacha space. Tusije pasua taa.
Zipo zinatembea mjini na watu wananunua. Cha msingi usinunue gari kama hizi kama hauna mjengo wa maana. Usiwaige wahindi maaana wao wanaishi kwenye apartment upanga na wanamiliki gari kama hizi. Pia angalia uwezo wa kulimudu maana wengi wanaonunua haya magari baada ya miaka mitatu hadi mitano yanaishia garage.Tuache bei ya chuma yenyewe, ila TRA wanataka Mil 185 ukileta hii kitu tena ya 2024. Sasa sijui ikiwa 0 kilometa kuna excuse?
View attachment 3000193
Kusema kweli kuna magari mazuri ila ushuru kichomi.
View attachment 3000195
Tukipishana nayo njiani tuwe tunaacha space. Tusije pasua taa.
Utakutana na TRA pale Namanga au Horohoro one stop centre. Mombasa utalipa Port charges ila utapopita border yoyote lazima ulipe kodiKwani bandari ni moja tu? Ata mombassa ipo tutatumia ya kenya.
Hujui gharama wanazolipia mkuu. Wengine wamepata kihalali wengine wanaishia na vidonda kwenye makalio ili mradi awe na ndinga la kuvimbia.Haya magari nikayaona huwa mkono wa kushoto unakuwa kwenye handbrake muda wote ili likitokea lolote navuta fasta ili nisigonge hiyo gari.
Ila duniani tumetofautiana Sana yaani MTU anasukuma ndinga ya million 500 na maisha yanaendelea kama kawaida
Kusukuma pila Kama hilo ni muhimu japo Mimi ntanunua discover kwanza
Hiyo chuma ntaanza kuisukuma at my thirties
Kwamba saizi una miaka 21?🤣 kumbe wanaotukanaga wanawake ni vitoto vya mwaka 2000🤣
Hapa umetumia approach ya kimaskini kweli kweli ambayo ndiyo wabongo wengi tunamia ''ikitokea ukapata mil 180''. Hii inaonyesha watu wananunua gari kama hizi baada ya kuangukiwa na zali na na siyo kwa sababu wamepanga kununua. Matokeo yake ndiyo hayo ya kulia lia kwa kusema ushuru mkubwa, sijui ''linakunywa mafuta kama jini'' au spea zake ni ghali.Tuache bei ya chuma yenyewe, ila TRA wanataka Mil 185 ukileta hii kitu tena ya 2024. Sasa sijui ikiwa 0 kilometa kuna excuse?
View attachment 3000193
Kusema kweli kuna magari mazuri ila ushuru kichomi.
View attachment 3000195
Tukipishana nayo njiani tuwe tunaacha space. Tusije pasua taa.
Angalia trend ya comments zako kwa mtu mwenye macho ya kawaida anaona ni comments tu ila deep down kuna kakitu unakapambania. Na kuna siku tuliwahi kukutana kwenye mada moja ya moto sana. Uliyokua unaya comment mle nilistuka. Nikahisi labda ulizaliwa na m’baba.Sijajua kuhusu hilo jambo la kutukana wanawake limekaaje hapo
Wanawake Mimi binafsi nawapenda sana na wenyewe wanajua
Angalia trend ya comments zako kwa mtu mwenye macho ya kawaida anaona ni comments tu ila deep down kuna kakitu unakapambania. Na kuna siku tuliwahi kukutana kwenye mada moja ya moto sana. Uliyokua unaya comment mle nilistuka. Nikahisi labda ulizaliwa na m’baba.
Nimeskia tu uvivu ku search lakini ningeendele mbele ningekuta matusi. Hizi ni comments zako chache tu
Hapa umetumia approach ya kimaskini kweli kweli ambayo ndiyo wabongo wengi tunamia ''ikitokea ukapata mil 180''. Hii inaonyesha watu wananunua gari kama hizi baada ya kuangukiwa na zali na na siyo kwa sababu wamepanga kununua. Matokeo yake ndiyo hayo ya kulia lia kwa kusema ushuru mkubwa, sijui ''linakunywa mafuta kama jini'' au spea zake ni ghali.
Hii itasaidia kwa kiwango fulani.Utakutana na TRA pale Namanga au Horohoro one stop centre. Mombasa utalipa Port charges ila utapopita border yoyote lazima ulipe kodi