Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Exactly, magari kama hayo mengi wameyaacha garage kwa kushindwa kuyatengeneza na kusingizia parts wakati jirani tu Kenya na SA zipoHapa umetumia approach ya kimaskini kweli kweli ambayo ndiyo wabongo wengi tunamia ''ikitokea ukapata mil 180''. Hii inaonyesha watu wananunua gari kama hizi baada ya kuangukiwa na zali na na siyo kwa sababu wamepanga kununua. Matokeo yake ndiyo hayo ya kulia lia kwa kusema ushuru mkubwa, sijui ''linakunywa mafuta kama jini'' au spea zake ni ghali.
Mawazo muflis maana gari la 500m na ushuru huo wa kusukuma lazima awe na kipato kikubwa sana
Labda Ulaya ambapo mtu anaweza kumudu hata mbeba box akitaka kujionyesha