Ikitokea Umepata Mil 180 leo, Haitoshi kulipa Ushuru wa Range Rover ya 2024

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Tuache bei ya chuma yenyewe, ila TRA wanataka Mil 185 ukileta hii kitu tena ya 2024. Sasa sijui ikiwa 0 kilometa kuna excuse?



Kusema kweli kuna magari mazuri ila ushuru kichomi.

Tukipishana nayo njiani tuwe tunaacha space. Tusije pasua taa.
 
Kwani bandari ni moja tu? Ata mombassa ipo tutatumia ya kenya.
 
Zipo zinatembea mjini na watu wananunua. Cha msingi usinunue gari kama hizi kama hauna mjengo wa maana. Usiwaige wahindi maaana wao wanaishi kwenye apartment upanga na wanamiliki gari kama hizi. Pia angalia uwezo wa kulimudu maana wengi wanaonunua haya magari baada ya miaka mitatu hadi mitano yanaishia garage.
 
Wengine wananunua hayo yanaingia Bongo na ushuru wanalipa kidogo au wanatumia loop za Kuagiza kupitia taasisi za kiraia,kampuni ili kupata tax relief
 
Haya magari nikayaona huwa mkono wa kushoto unakuwa kwenye handbrake muda wote ili likitokea lolote navuta fasta ili nisigonge hiyo gari.
Ila duniani tumetofautiana Sana yaani MTU anasukuma ndinga ya million 500 na maisha yanaendelea kama kawaida
Hujui gharama wanazolipia mkuu. Wengine wamepata kihalali wengine wanaishia na vidonda kwenye makalio ili mradi awe na ndinga la kuvimbia.
 
Hapa umetumia approach ya kimaskini kweli kweli ambayo ndiyo wabongo wengi tunamia ''ikitokea ukapata mil 180''. Hii inaonyesha watu wananunua gari kama hizi baada ya kuangukiwa na zali na na siyo kwa sababu wamepanga kununua. Matokeo yake ndiyo hayo ya kulia lia kwa kusema ushuru mkubwa, sijui ''linakunywa mafuta kama jini'' au spea zake ni ghali.
 
Sijajua kuhusu hilo jambo la kutukana wanawake limekaaje hapo

Wanawake Mimi binafsi nawapenda sana na wenyewe wanajua
Angalia trend ya comments zako kwa mtu mwenye macho ya kawaida anaona ni comments tu ila deep down kuna kakitu unakapambania. Na kuna siku tuliwahi kukutana kwenye mada moja ya moto sana. Uliyokua unaya comment mle nilistuka. Nikahisi labda ulizaliwa na m’baba.

Nimeskia tu uvivu ku search lakini ningeendele mbele ningekuta matusi. Hizi ni comments zako chache tu
 

Attachments

  • IMG_6964.png
    318.4 KB · Views: 8
  • IMG_6965.png
    269.7 KB · Views: 14
  • IMG_6966.png
    377.8 KB · Views: 10
  • IMG_6967.png
    337.4 KB · Views: 10
  • IMG_6968.png
    343.3 KB · Views: 11
  • IMG_6969.png
    356.2 KB · Views: 8
  • IMG_6970.png
    328.1 KB · Views: 7
  • IMG_6963.png
    387.2 KB · Views: 7



Sawa Ila Mimi wanawake sina tatizo Mao I respect them , isipokuwa hauwezi kunielewa


Ujue ukiwa mkweli lazima watu watakuambia unachukia kundi fulani
 

Kweli kabisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…