Ikitokea Umepata Mil 180 leo, Haitoshi kulipa Ushuru wa Range Rover ya 2024

Exactly, magari kama hayo mengi wameyaacha garage kwa kushindwa kuyatengeneza na kusingizia parts wakati jirani tu Kenya na SA zipo
Mawazo muflis maana gari la 500m na ushuru huo wa kusukuma lazima awe na kipato kikubwa sana
Labda Ulaya ambapo mtu anaweza kumudu hata mbeba box akitaka kujionyesha
 
Asee napataje hii kadirio la ushuru kwenye portal ya TRA? Zamani nilikua naweza Ila kwa Sasa TRA PORTAL inagoma kufunguka kwangu, shida yaweza kua Nini Mkuu?
 
Haya magari nikayaona huwa mkono wa kushoto unakuwa kwenye handbrake muda wote ili likitokea lolote navuta fasta ili nisigonge hiyo gari.
Ila duniani tumetofautiana Sana yaani MTU anasukuma ndinga ya million 500 na maisha yanaendelea kama kawaida
Hahahaahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…