Ikitokea umepata Mtoto/Watoto kwenye mahusiano yako, Kati yako na Mwenzio nani atawafundisha Hesabu?

Ikitokea umepata Mtoto/Watoto kwenye mahusiano yako, Kati yako na Mwenzio nani atawafundisha Hesabu?

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1700137438110.png

Suala la kuwa Mzazi linakuja na mambo mengi sana, ikiwemo kuwajibika kwa Watoto, Kuwasaidia Kazi za Shule na kila kitu, sasa kwa unavyoona Mahusiano yenu hapo, nani atakuwa msaidizi wa Home Work za Hesabu kwa Watoto/Mtoto wenu?

Au wote mtakuwa mnakimbia na kuwambia Watoto wamalizane kila kitu Shuleni.
 
View attachment 2815482

Wote
 
Mimi ntamsaidia Physics na programming Calculus na differentiation atafanya mama yake.
 
Mimi pia ni mtaalam wa Maths na Accounting. So sio inshu sana kwa mwanangu kumpigisha pindi home. Kuanzia hesabu za Trigonometry, Algebra, calculas , programming...
Kuja kwenye accounting ndio uproffessional wangu ulipo kuanzia financial, cost na management Accounting
 
Shule gani maana hzi shule za kujua kingereza huwa tunaweka tu bando unamkabidhi mtoto dakika chache tu keshabutua .
 
Back
Top Bottom