Ikitokea vita ya maninja na makomandoo, upande upi utashinda?

Ikitokea vita ya maninja na makomandoo, upande upi utashinda?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Usiseme huu ni utoto.
Tuseme upande mmoja (labda Rwanda) unaamua kutumia makomando 1000 na upande mwingine ( labda DRC) unaamua kuja na maninja 1000.
Hamna kutumia silaha za moto, ila visu, mapanga, chain, kamba, nguvu nk vyote vinaruhusiwa.
Kwa utaalamu wako hapo nani ataibuka kidedea.
Natanguliza shukrani.
 
Msaga Sumu katika 1 & 2 🤣
 
Wote ni wachawi ila maninja ni wachawi zaidi.
Ukomando ni rahisi kuupata, uninja huwezi kuupata kirahisi.
Ukomando ukienda course ya miezi 4 baada ya JKT unakatwa bogi unakaa muda usuozidi mwaka tayari.
Uninja ni umafia na unatolewa kabisa kwenye ubinadamu
Punguza kuangalia muvi mzee umekua Sasa
 
Usiseme huu ni utoto.
Tuseme upande mmoja (labda Rwanda) unaamua kutumia makomando 1000 na upande mwingine ( labda DRC) unaamua kuja na maninja 1000.
Hamna kutumia silaha za moto, ila visu, mapanga, chain, kamba, nguvu nk vyote vinaruhusiwa.
Kwa utaalamu wako hapo nani ataibuka kidedea.
Natanguliza shukrani.
Tupe kwanza tofauti ya ninja na komamdoo na pia tuambie utawezaje kumtofautisha komandoo aliyevalia mavazi ya kininja?
 
Wote ni wachawi ila maninja ni wachawi zaidi.
Ukomando ni rahisi kuupata, uninja huwezi kuupata kirahisi.
Ukomando ukienda course ya miezi 4 baada ya JKT unakatwa bogi unakaa muda usuozidi mwaka tayari.
Uninja ni umafia na unatolewa kabisa kwenye ubinadamu
Naweza nikasema kwamba kozi ya komando siyo rahisi kuifuzu kwa namna ulivyoirahisisha japo haimaanishi ninja ni sanaa rahisi.

Zote zina mafunzo magumu mno isipokuwa tu kama ulivyohitimisha ninja mara nyingi ni sanaa inayotumika hadi katika uhalifu isipokuwa huyo komando ni ulinzi.

Swala la kutolewa katika ubinadamu wa kawaida yapo mafunzo mengi tu ukiachana na komando au ninja. Vipo vikundi hutumiwa hata na serekali (hasa nchi za wenzetu zaidi) ambavyo ni highly trained, sometimes ninja sinema zinawapa kile ambacho sicho uhalisia ulivyo.

Sawa na uone Rambo 2 useme all commandos wanaweza fanya yale.

All in all Ninja ni sanaa ya sabotage.
Commando ni specialist soldier kupigana behind the enemy line.
 
Usiseme huu ni utoto.
Tuseme upande mmoja (labda Rwanda) unaamua kutumia makomando 1000 na upande mwingine ( labda DRC) unaamua kuja na maninja 1000.
Hamna kutumia silaha za moto, ila visu, mapanga, chain, kamba, nguvu nk vyote vinaruhusiwa.
Kwa utaalamu wako hapo nani ataibuka kidedea.
Natanguliza shukrani.
Hakuna swali la kijinga duniani.Ujibiwe kadiri ya uhalisia.
 
Kwasababu katika tasnia ya sanaa ya mapigano nina lolote la kuchangia kwasababu kwa kiwango cha sanaa za kijeshi nimepitia naweza sema hivi:

Ni vigumu kusema kwa uhakika ni nani atashinda katika pambano kati ya ninja na askari mwenye taaluma ya komando, kwani wote wamefunzwa sana katika mbinu zao za mapigano. Ninja wanajulikana kwa kuwa na tabia za usiri, wepesi na utaalam wao katika vita visivyo vya kawaida ila komando wao wakiwa na ujuzi wa hali ya juu katika operesheni maalum, kukabiliana na ugaidi na mapigano ya karibu (hand to hand combat). Matokeo ya pambano kama hilo yanategemea mambo mbalimbali kama vile uwezo na mafunzo mahususi ya watu wanaohusika katika pambano hilo, mazingira ya pambano hilo, na kipengele cha mshitukizo. Hivyo ni muhimu kukumbuka kuwa mapigano ni magumu na hayatabiriki, na ni bora kufahamu ujuzi na mafunzo ya kipekee ya kila kundi bila kuwalingalisha.

Maana yangu ni kwamba ubora wa muhusika ndiyo utaamua nani kuwa mshindi.

Mfano kuna mmoja ni mtaalamu mno wa Muay Boran mwingine ni mtaalamu mno katika karate ushindi utapatikana kwa yule aliye bora kwa mwenzake.

Asante.
 
Back
Top Bottom