5G NETWORK COVERAGE
Member
- Mar 10, 2024
- 40
- 98
Maninja wana mwaga unga wanapotea kmmmk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huu ni utoto kweli kama ulivyoandika,unachokiona kwenye filamu za Ninjas ni kama myths,historia inaonyesha Ninja walikuwa wanatumika Japan karne ya 14 kwa minajiri ya kuspy tu,kukusanya taarifa.Commando ni mwanajeshi mwenye mafunzo ya hali ya juu kwa ajili ya mapigano ya kivita na kila nchi wapo.Na hata commando unayemuona kwenye movie anayeua jeshi zima haina uhalisia,kuna movie flan flan kama lone survivor or 13hrs in beghazi wamejaribu kidoogo kuweka uhalisia sababu ni movies based on true story.Usiseme huu ni utoto.
Tuseme upande mmoja (labda Rwanda) unaamua kutumia makomando 1000 na upande mwingine ( labda DRC) unaamua kuja na maninja 1000.
Hamna kutumia silaha za moto, ila visu, mapanga, chain, kamba, nguvu nk vyote vinaruhusiwa.
Kwa utaalamu wako hapo nani ataibuka kidedea.
Natanguliza shukrani.
Ni mbunge wa jimbo la Mchambawima kule visiwani au sio LamomySi ajabu anayeuliza haya maswali ni mbunge! 😁
Yaah ni ninja ni sanaa tu na ndiyo maana kuna man nilimwambia pale ata ule tunaoona katika movie si uhalisia kamili wa commando.Hili swali niliwahi kuuliza muda mrefu sana,leo ndio natambua ni jinsi gani mtu akikwambia una akili za kitoto anamaanisha jambo😃😃.
Maswali sambamba na hilo ni kati ya jet lee na vandame nani atapigwa,yaani hapa ref ni movie wala sio kingine haihusiani na mazingira na uhalisia kabisa.
Yaani tumchukue michael dudkof au starring wa ninja assasin,commando gani atasimama pale bila bunduki😁😁,lakini kiuhalisia hakuna ninja wa aina ile zile ni stunts za kutuburudisha tu ktk ulimwengu wa sinema.
NInja ni kweli wapo na nchi mahusi ni japan,wanayo mafunzo mbali mbali lakini sio kama tuonavyo katika movies mpaka wanayayuka😂😂.
Kwahiyo nani apigwe na nani,itategemea mambo mengi.
😂😂😂😂😂 Dah! Nimecheka sanaSi ajabu anayeuliza haya maswali ni mbunge! 😁
Hao maninja ni spiritual fighters na mpaka ufike hiyo level utatumia si chini ya miaka 20 ya mafunzo.Usiseme huu ni utoto.
Tuseme upande mmoja (labda Rwanda) unaamua kutumia makomando 1000 na upande mwingine ( labda DRC) unaamua kuja na maninja 1000.
Hamna kutumia silaha za moto, ila visu, mapanga, chain, kamba, nguvu nk vyote vinaruhusiwa.
Kwa utaalamu wako hapo nani ataibuka kidedea.
Natanguliza shukrani.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe ni kubwa jinga
Sema wale mataira (maninja)Maninja wana mwaga unga wanapotea kmmmk