MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Msaga Sumu katika 1 & 2 🤣Usiseme huu ni utoto.
Tuseme upande mmoja (labda Rwanda) unaamua kutumia makomando 1000 na upande mwingine ( labda DRC) unaamua kuja na maninja 1000.
Hamna kutumia silaha za moto, ila visu, mapanga, chain, kamba, nguvu nk vyote vinaruhusiwa.
Kwa utaalamu wako hapo nani ataibuka kidedea.
Natanguliza shukrani.
Punguza kuangalia muvi mzee umekua SasaWote ni wachawi ila maninja ni wachawi zaidi.
Ukomando ni rahisi kuupata, uninja huwezi kuupata kirahisi.
Ukomando ukienda course ya miezi 4 baada ya JKT unakatwa bogi unakaa muda usuozidi mwaka tayari.
Uninja ni umafia na unatolewa kabisa kwenye ubinadamu
Tupe kwanza tofauti ya ninja na komamdoo na pia tuambie utawezaje kumtofautisha komandoo aliyevalia mavazi ya kininja?Usiseme huu ni utoto.
Tuseme upande mmoja (labda Rwanda) unaamua kutumia makomando 1000 na upande mwingine ( labda DRC) unaamua kuja na maninja 1000.
Hamna kutumia silaha za moto, ila visu, mapanga, chain, kamba, nguvu nk vyote vinaruhusiwa.
Kwa utaalamu wako hapo nani ataibuka kidedea.
Natanguliza shukrani.
Sasa unamtangulizia nani shukrani weweee?😡😡Kwa utaalamu wako hapo nani ataibuka kidedea.
Natanguliza shukrani.
Naweza nikasema kwamba kozi ya komando siyo rahisi kuifuzu kwa namna ulivyoirahisisha japo haimaanishi ninja ni sanaa rahisi.Wote ni wachawi ila maninja ni wachawi zaidi.
Ukomando ni rahisi kuupata, uninja huwezi kuupata kirahisi.
Ukomando ukienda course ya miezi 4 baada ya JKT unakatwa bogi unakaa muda usuozidi mwaka tayari.
Uninja ni umafia na unatolewa kabisa kwenye ubinadamu
Hakuna swali la kijinga duniani.Ujibiwe kadiri ya uhalisia.Usiseme huu ni utoto.