Ikitokea wachezaji 20 wa Yanga wanavunja mikataba katikati ya ligi. Itakuwaje?

Suala la Yanga kumuadhibu Feisal ni la kwao wenyewe. Halihusiani kabisa na shauri lililòwasilishwa TFF
 
Sidhani kama watumwa huwa wanalipwa mishahara, wana likizo, bonus, endorsements, transfer fee, singing fee.
 
Kila mtu ana njaa zake, ustaarabu wake na maadili yake, hilo jambo haliwezi tokea, hence hakuna sababu ya kujadiliana.
 
Na uvunjaji una taratibu zake, izi nguvu mgezitumia kumuimiza kufuata utaratibu mngekua mmemsaidia mno, tofauti ya hapo Hamna tofauti na wapotoshaji.

Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
Hatujui Fei katengeneza tsh ngapi kwa kutufanya mm na wewe tumjadili. Hizo taratibu kama aliamua kuzipuuza yeye ndo anajua madhara na faida ya kufanya hivyo.
 
Nadhani ni uelewa mdogo tu ila kila binadamu anao uhuru wa kufanya maamuzi yake.

Huwezi lazimisha mtu kufanya jambo asilolitaka.

Kuvunja mkataba ni haki ya kimkataba na hicho kifungu lazima kiwepo.
 
Ukiruhusu hii kitu itakua tabia ngoja apewe dose huyu itakua funzo kwa wengine
 
Reactions: Tsh

Punguza hoja duni (PhD)
 
Sidhani kama watumwa huwa wanalipwa mishahara, wana likizo, bonus, endorsements, transfer fee, singing fee.
Unaweza ukawa unapewa kila kitu ila ni mtumwa. Utumwa ni hali ya kulazimika kufanya jambo usilotaka kulifanya kwa malipo.
 
Usipomlipa mshahara mtu ni sawa na kumfukuza.

Mshahara ndio fundamental term ya employment contract.

Hapo anaweza claim constructive termination na akafanikiwa.
 
Nadhani ni uelewa mdogo tu ila kila binadamu anao uhuru wa kufanya maamuzi yake.

Huwezi lazimisha mtu kufanya jambo asilolitaka.

Kuvunja mkataba ni haki ya kimkataba na hicho kifungu lazima kiwepo.
FIFA inakataa kuvunja mkataba katikati ya msimu usije na mambo yenu ya siasa kwenye mpira
 
FIFA inakataa kuvunja mkataba katikati ya msimu usije na mambo yenu ya siasa kwenye mpira
Hapo hakuna siasa hizo ni haki za kimkataba tu.

Mkataba upo kwa ajili ya kuvunjwa sio kifungo cha maisha.

Yanga na TFF ni malimbukeni tu wivu na uchawi tu wa kiafrika umejaa kwenye taasisi zetu.
 
Hapo hakuna siasa hizo ni haki za kimkataba tu.

Mkataba upo kwa ajili ya kuvunjwa sio kifungo cha maisha.

Yanga na TFF ni malimbukeni tu wivu na uchawi tu wa kiafrika umejaa kwenye taasisi zetu.
Mikataba ya football ipo chini ya FIFA ambao hawaruhusu kuvunja mkataba katikati ya msimu
 
Mikataba ya football ipo chini ya FIFA ambao hawaruhusu kuvunja mkataba katikati ya msimu
Ndivyo mnavyodanganyana hapo TFF na Yanga??

FIFA imebadili sheria zake na inaruhusu mchezaji kuvunja mkataba wake wakati wowote.

Kasome Bosman Ruling.

Yametokea na sote tumeona mfano mzuri ni Cristiano Ronaldo na Man U. Mkataba ulivunjwa na Ronaldo anacheza huko kwingine.

Kuwa TFF au Yanga hakumaanishi kujua kila kitu bwana mdogo.
 
Sijawahi kuona mtumwa analipwa mishahara hapa tuta kesha
Kama kwako wewe "Pesa" ikishahusika basi hakuna tena utumwa upo sahihi. Kwangu ni tofauti.

Ila nikuulize kwa nadharia yako ya pesa inafuta utumwa. Kama asiyelipwa ndo mtumwa, Je anayeamini anafanya kazi kubwa kwa malipo kidogo huyo si mtumwa?
 
Suala la Yanga kumuadhibu Feisal ni la kwao wenyewe. Halihusiani kabisa na shauri lililòwasilishwa TFF
Hilo mbona linaeleweka na liko wazi. Sijaelewa kwa nini umeona ulazima kulisema tena kwa kuninukuhu.
 
Vp inamlipa mshahara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…