- Thread starter
- #41
Suala la Yanga kumuadhibu Feisal ni la kwao wenyewe. Halihusiani kabisa na shauri lililòwasilishwa TFFSasa wewe una ufahamu wa mambo haya. Embu wanayanga watusaidie, kwa nini wanaendelea kumlipa mshahara na hawajamuadhibu mchezaji ambaye amegoma kucheza?
Halafu juzi juzi baada tu ya game, Hersi alizungumza na mchezaji wa TP Mazembe na kumwambia wangependa aje achezee Yanga.