Kama Yanga wameikosea Sportpesa (kwa kujibu wa maneno yako), je hiyo inahalalisha makosa ya Feisal???Wewe mleta uzi atamimi hapo mwanzo nilikua najiuliza kama wewe itakuaje ikiwa hivyo?....Yaan nilikua namuona Fei alikua anaikosea sana club ameshindwa kufuata matakwa ya mkataba, ila tangu lilipotokea swala la club hiyo hiyo kushindwa kuhesimu mkataba wake na mdhamini wake mkuu nikaona kwenye club kuna uhuni mkubwa unaendelea na mengine mengi tu yanakuja hususani ni ya kimikataba. Alichokifanya Fei dhidi ya club ya kimpira ni pigo kubwa kwake, na ilichokifanya club dhidi ya mdhamini wake kibishara ni pigo kubwa kwao, muda utaongea watavuna tu walivyopanda leo.
Maamuzi ya viongozi wa yanga yanafanywa kulingana na uzoefu na uwezo wao. Sijashauri popote wachukue maamuzi gani.Unaleta hisia zaidi kuliko facts. Mikataba ni ya kazi gani kama timu zitatakiwa kufanya decisions kwa kuangalia matakwa ya mchezaji? Kwamba Yanga wamuuze Mayele hata kwa hela kidogo eti kwakuwa ameonesha kuichoka timu??????
Ndani ya uwanja mmeishiwa sasa hivi mmebakiza haya matakatakaYanga wenye akili ni wawili tu haya wekeni dau mlilomnunua sure boy na sio huyo tu wachezaji kibao mmepewa bure na AZAM na hawajalalamika ila feisal imekuwa nongwa ina maana yanga imesahau dhulma ilizofanya kwa team nyingine mchezaji kashasema hataki kubaki yanga lazima mumkomoe muacheni aende anapoona kuna faa mpa mudathir na sure boy wanamzidi hela feisal acheni dhulma kwa wachezaji wazawa.
Uzito wa sababu hupimwa na mhusika. Kuna sababu zinawafanya watu wanaua kabisa huku wakijua wataozea gerezani. Zinaweza zisitoshe kwako ila kwa Fei zikatosha.Hizo sababu zinatosha kukiuka mkataba?
Tofautisha utumishi na utumwaWapo wafanyakazi wanaotumikishwa kwa malipo kidogo.
OK bossTofautisha utumishi na utumwa
Hao wanao kukanda kila sikuKwa wachezaji gani kwanza, hao wakina kisinda na Azizi ki ?
Yaani mnazieleze tabia za timu yenu,Friends Simba kabla hajaja Mo kila mtu alikuwa ana mchezaji wake anaye mlipa mshahara, mwisho wa siku timu yenu ikagawanyika au mmeamua kusahau mlipo kaa miaka mitano bila ubingwa. Boss kW kuwa anamlipa mchezaji ,kama wakimzingua anamwambia mchezaji acheze chini ya kiwango. Yaani juzi tu mmekuwa wasahaulifu,miaka mitano bila ubingwa sababu ni mgawanyiko wenu.Tunaongelea wachezaji wote kufukuzwa au timu kugawanyika pande mbili, nusu ya wachezaji wako huku na kocha wao, nusu wako kule na kocha mwingine. Mtafute Minziro atakwambia.
Timu chache sana duniani kama si Yanga pekee ndiyo zimewahi kuwa na aina za migogoro na wachezaji ambayo Yanga imekuwa nazo.
Kwani ndani ya uwanja nyinyi mmefanikiwa nini kushiriki makundi kombe la loosers au wanaume wapo Caf champions league huko wanacheza na wanaume wenzao nyie endeleeni kusikiliza ujinga wa manara yaani caf confederation cup mnapiga kelele hivyo mara ya mwisho kushiriki Caf champions league wewe ulikuwa hujazaliwa ilikuwa 1996 mpaka leoNdani ya uwanja mmeishiwa sasa hivi mmebakiza haya matakataka
Jaribu kuwa hoja yenye relevance na mada inayojadiliwaMaamuzi ya viongozi wa yanga yanafanywa kulingana na uzoefu na uwezo wao. Sijashauri popote wachukue maamuzi gani.
Na kweliHao wanao kukanda kila siku
Sawa.Jaribu kuwa hoja yenye relevance na mada inayojadiliwa
Yaani hata haujui ninachokiongelea. Watafuteni watu wanaoijua timu yenu vizuri wawahadithie. Mnashabiki klabu ambayo hamjui hata historia yake.Yaani mnazieleze tabia za timu yenu,Friends Simba kabla hajaja Mo kila mtu alikuwa ana mchezaji wake anaye mlipa mshahara, mwisho wa siku timu yenu ikagawanyika au mmeamua kusahau mlipo kaa miaka mitano bila ubingwa. Boss kW kuwa anamlipa mchezaji ,kama wakimzingua anamwambia mchezaji acheze chini ya kiwango. Yaani juzi tu mmekuwa wasahaulifu,miaka mitano bila ubingwa sababu ni mgawanyiko wenu.
Mo ndiye aliyeleta umoja, mkimtibua mnarudi kulekule, kila mchezaji ana boss wake.Bora Yanga,tukipitia msoto wa kiuchumi tunatembeza bakuli na kila mchezaji atalipwa kupitia hela inapatikana kwenye bakuli.
Vp inamlipa mshahara?
Kwani uongo Friends of Simba kabla ya kuja Mo si kila mchezaji alikuwa na boss wake.Watafute wanao ijua Simba na Friends of Simba watakusimulia mgawanyiko uliokuwepo kabla ya kuja Mo.Yaani hata haujui ninachokiongelea. Watafuteni watu wanaoijua timu yenu vizuri wawahadithie. Mnashabiki klabu ambayo hamjui hata historia yake.
Dah, nimekunyooshea mikono. Nasikia kwenye katiba yenu mmeambiwa mbishane hadi tone la mwisho.Kwani uongo Friends of Simba kabla ya kuja Mo si kila mchezaji alikuwa na boss wake.Watafute wanao ijua Simba na Friends of Simba watakusimulia mgawanyiko uliokuwepo kabla ya kuja Mo.
Sasa ww hata history yako ya juzi ya Timu yako hujui ndio uijue ya Yanga.
Sasa nibishane na ww ili iweje,yaani unaijua history ya Yanga kuliko history ya timu yako,yaani hata miaka kumi hujui history ya timu yako kama si unafiki nini.Dah, nimekunyooshea mikono. Nasikia kwenye katiba yenu mmeambiwa mbishane hadi tone la mwisho.
Haihalalishi... Lakin kwann iwe baina ya hiyo club na wachezaji au taasisi? Yan kwenye club hasa kitengo cha sheria hakipo sawa hasa kwenye mikataba kuna shida na hii ni mbaya sana....Kama Yanga wameikosea Sportpesa (kwa kujibu wa maneno yako), je hiyo inahalalisha makosa ya Feisal???
Naijua historia ya timu zote mbili vizuri tu, usilazimishe kwamba sijui hiki wala kile.Sasa nibishane na ww ili iweje,yaani unaijua history ya Yanga kuliko history ya timu yako,yaani hata miaka kumi hujui history ya timu yako kama si unafiki nini.