Yaani mnazieleze tabia za timu yenu,Friends Simba kabla hajaja Mo kila mtu alikuwa ana mchezaji wake anaye mlipa mshahara, mwisho wa siku timu yenu ikagawanyika au mmeamua kusahau mlipo kaa miaka mitano bila ubingwa. Boss kW kuwa anamlipa mchezaji ,kama wakimzingua anamwambia mchezaji acheze chini ya kiwango. Yaani juzi tu mmekuwa wasahaulifu,miaka mitano bila ubingwa sababu ni mgawanyiko wenu.
Mo ndiye aliyeleta umoja, mkimtibua mnarudi kulekule, kila mchezaji ana boss wake.Bora Yanga,tukipitia msoto wa kiuchumi tunatembeza bakuli na kila mchezaji atalipwa kupitia hela inapatikana kwenye bakuli.