Ikitokea wachezaji 20 wa Yanga wanavunja mikataba katikati ya ligi. Itakuwaje?

Ikitokea wachezaji 20 wa Yanga wanavunja mikataba katikati ya ligi. Itakuwaje?

Mwanasheria na Wakili msomi kashasema kijana ana haki ya kukataa kufanya kazi, jamani maajabu hayaishi kwenye hii nchi

Kazi sio utumwa ndugu. Kama unaona hakuna maslahi unaacha.

Unazijua sheria za kazi? Usipoenda kazini bila taarifa inatokea nini?

Ukigoma kufanya kazi inatokea nini?

Wewe housgirl/boy akiamua kusema anataka kuondoka huwa unamlazimisha kubaki?

Utakachomkomoa labda utamwambia ajitegemee nauli.

Kama mtu hawezi tekeleza mkataba, anaufidia huo mkataba.

Nyie uto mmewafanya nini sport pesa? Ila kwa fei mnakuwa wakali kama pilipili.
 
We ulisikia maneno waliyokuwa wakiongea au ndio unadakia tu hadithi za mtandaoni
Taarifa ikitolewa na chombo cha habari tena ikaambatanishwa na picha na haijawahi kukanushwa inaashiria ni habari sahihi.

Yaani Rais wa timu anatoka jukwaani anaenda kuongea na mchezaji wa timu pinzani baada ya mechi na wanafanya mazungumzo binafsi, huku hizo timu mbili zikitegemea kurudiana baada ya wiki chache, wewe unaona sawa?
 
Hayo sasa ni maamuzi yao ya ndani, lakini wakiamua kutomlipa ni sahihi kabisa.

Mara nyingi mikataba ya wachezaji huwa inaenda sambamba na uwepo wao kambini, kufanya mazoezi na kuwa tayari kucheza; usipotokea hiyo ni breach ambayo team inaweza kutokukulipa mshahara na bado ukawa chini ya mkataba.

Ukigoma kabisa kutokea na wenyewe wakiwa kichwa ngumu wanaweza kuendelea na wewe hivyo hivyo utokei na wao awakulipi mpaka mkataba wako unaisha.

Ni kama Cristiano Ronaldo na Manchester; mpaka walipofikia makubaliano ya pande mbili kuuvunja mkataba.

Kutamka ungependa kuona fulani anakuja kuchezea club yako mbele ya umma, sio sawa na kuongea nae nyuma ya pazia kwa namna ya kumshawishi aje kwenye club. Anyway club nyingine ata hilo jambo watatoa warning kama uchokozi lakini sio kosa la kupelekana kwenye sheria.
Tusimung'unye maneno ndugu yangu. Kuendelea kumlipa mchezaji ambaye waziwazi amesema hataki kuchezea hiyo timu, inaonyesha Yanga hawaamini wanachokifanya. Hizi habari za mitego sijui nini ni utoto tu wa wazungumzaji.

Hii club inaendeshwa kihuni sana. Rais wa club anatoka jukwaani anaenda kuongea na mchezaji wa timu pinzani baada ya mechi kwa mazungumzo ya faragha ni jambo la ajabu sana. Tena ukizingatia timu hizi zinategemea kurudiana wiki chache zijazo.

Jana msemaji wao alisema waziwazi amemtafuta Kipre Junior wa Azam na ameanza kumpanga jinsi atakavyoondoka Azam kwenda Yanga.
 
Usipomlipa mshahara mtu ni sawa na kumfukuza.

Mshahara ndio fundamental term ya employment contract.

Hapo anaweza claim constructive termination na akafanikiwa.
Kwenye contract mshahara unatokana na performance au kuwa available kwa wanamichezo.

Ndio maana kama ulifuatilia sakata la Ronaldo na Man Utd, walikuwa wanampiga fines akikataa kuingia as a substitute, akiondoka uwanjani kabla match aijaisha na mara kadhaa alipokuwa atokei mazoezini.

Extreme case ni Ben Simmons na Sixers muda wote alipogoma kwenda kuchezea team alikuwa alipwi mshahara mpaka alipokuwa traded kwenda Nets.

Kuwepo kwenye team ni kigezo cha mshahara ndani ya mkataba na usipotokea kama bado upo ndani ya contract ulipwi na bado uwezi kuvunja mkataba ambao aujaisha muda wake kiholela tu.
 
Kila mtu ana njaa zake, ustaarabu wake na maadili yake, hilo jambo haliwezi tokea, hence hakuna sababu ya kujadiliana.
Probability may happen at any instance
 
Nadhani ni uelewa mdogo tu ila kila binadamu anao uhuru wa kufanya maamuzi yake.

Huwezi lazimisha mtu kufanya jambo asilolitaka.

Kuvunja mkataba ni haki ya kimkataba na hicho kifungu lazima kiwepo.
Kifungu cha kifala sana
 
Tusimung'unye maneno ndugu yangu. Kuendelea kumlipa mchezaji ambaye waziwazi amesema hataki kuchezea hiyo timu, inaonyesha Yanga hawaamini wanachokifanya. Hizi habari za mitego sijui nini ni utoto tu wa wazungumzaji.

Hii club inaendeshwa kihuni sana. Rais wa club anatoka jukwaani anaenda kuongea na mchezaji wa timu pinzani baada ya mechi kwa mazungumzo ya faragha ni jambo la ajabu sana. Tena ukizingatia timu hizi zinategemea kurudiana wiki chache zijazo.

Jana msemaji wao alisema waziwazi amemtafuta Kipre Junior wa Azam na ameanza kumpanga jinsi atakavyoondoka Azam kwenda Yanga.
Kama nilivyo mjibu mtu mwingine mshahara ni sehemu ya performance obligations za mchezaji na mkataba wenyewe una mambo mengine mengi ya kitu wanaita consideration (thamani mnazobadilishana), i.e Yanga inamsajili SAYVILLE kuichezea kwa miaka 5 kwa ivyo utakuwa mchezaji wao kwa kipindi hiko na mnalipana signing fees.

Baada ya hapo sasa ndio kuna kipengele cha performance usipocheza hatua gani club inaweza chukua wakati bado mchezaji wao ndani ya miaka tano.

Hayo ya raisi wao kama kweli anawafuata wachezaji wa team zingine sio sahihi hilo jambo team husika wanaweza lipeleka TFF.
 
Hapo hakuna siasa hizo ni haki za kimkataba tu.

Mkataba upo kwa ajili ya kuvunjwa sio kifungo cha maisha.

Yanga na TFF ni malimbukeni tu wivu na uchawi tu wa kiafrika umejaa kwenye taasisi zetu.
Unavunjwa wakati wowote?
 
Kwenye contract mshahara unatokana na performance au kuwa available kwa wanamichezo.

Ndio maana kama ulifuatilia sakata la Ronaldo na Man Utd, walikuwa wanampiga fines akikataa kuingia as a substitute, akiondoka uwanjani kabla match aijaisha na mara kadhaa alipokuwa atokei mazoezini.

Extreme case ni Ben Simmons na Sixers muda wote alipogoma kwenda kuchezea team alikuwa alipwi mshahara mpaka alipokuwa traded kwenda Nets.

Kuwepo kwenye team ni kigezo cha mshahara ndani ya mkataba na usipotokea kama bado upo ndani ya contract ulipwi na bado uwezi kuvunja mkataba ambao aujaisha muda wake kiholela tu.
Usilazimishe ufahamu wako kuwa ndio sheria.

Usipomlipa mtu mshahara hapo umempa tiketi ya kuondoka.

Hiyo ni constructive termination.

That is law not emotions.
 
Usilazimishe ufahamu wako kuwa ndio sheria.

Usipomlipa mtu mshahara hapo umempa tiketi ya kuondoka.

Hiyo ni constructive termination.

That is law not emotions.
Umeshawahi kusikia hizo term kwenye mkataba ‘performance obligations’, transaction payments, variable consideration. Yote hayo ni sehemu ya mkataba wala sio emotions.

Ukishachukuwa signing fees ni mchezaji wa team husika ndani ya miaka ya mkataba kwa lugha nyingine wamenunua huduma yako. Signing fees ndio inayokubana kutumikia team ndani ya muda wa makubaliano na mshahara ni sehemu ya performance obligation; hivyo ni vitu viwili tofauti.

Sasa kuvunja mkataba hapo lazima kuna kipengele cha wewe kuweza kuununua huo mkataba ili utoke, lakini kususia kwenda mazoezini akuwezi kuvunja mkataba sana sana team inaweza acha kukulipa mshahara na usifanye kitu.

Na nimekupa mifano ya Ronaldo na Ben Simmons; sasa sijui unabisha nini.
 
Mimi nazungumzia sheria wewe unakuja na uelewa wa kawaida.

Katu hatutaweza elewana.

Bakia na mtazamo wako huo so long as hakuna nachopoteza.
 
Ndivyo mnavyodanganyana hapo TFF na Yanga??

FIFA imebadili sheria zake na inaruhusu mchezaji kuvunja mkataba wake wakati wowote.

Kasome Bosman Ruling.

Yametokea na sote tumeona mfano mzuri ni Cristiano Ronaldo na Man U. Mkataba ulivunjwa na Ronaldo anacheza huko kwingine.

Kuwa TFF au Yanga hakumaanishi kujua kila kitu bwana mdogo.
Basi nenda kawe wakili wa Feisal
 
Kama wachezaji wana haki ya kuvunja mikataba wakati wowote, kuna uwezekano wa kutokea kitu cha ajabu sana. Swali ni je pale Yanga ikitokea wachezaji zaidi ya 20 wamepata deals nzuri na wameamua kuvunja mikataba yao (kama alivyojaribu Feisal), timu itaendelea na kushiriki mashinano?
Kwa nini wachezaji 20 wa Yanga ni wachezaji 20 wa Simba au timu nyingine. Kwa nini 20 na si chini ya hapo au zaidi ya hapo? Ni ipi hasa ajenda yako?
 
Kama kwako wewe "Pesa" ikishahusika basi hakuna tena utumwa upo sahihi. Kwangu ni tofauti.

Ila nikuulize kwa nadharia yako ya pesa inafuta utumwa. Kama asiyelipwa ndo mtumwa, Je anayeamini anafanya kazi kubwa kwa malipo kidogo huyo si mtumwa?
Hakuna mfanyakazi anae ridhika na mshahara wake
 
Back
Top Bottom