Ikitokea Yanga kachukua kombe la Caf. Je, atashiriki klabu bingwa au atashiriki CAF ili kulitetea?

Nadhani uamuzi unabaki kwa timu na Shirikisho la soka la nchi husika.
Kama mwaka jana na mwaka fulani nyuma Yanga alikuwa bingwa wa nchi na ni bingwa wa FA Cup akamua kushiriki Champion League. Mwaka jana angalau kulikuwa na kanuni mwaka ule angeamua kushiriki Shirikisho na ingekuwa sawa tu.
Kumbuka CAF hawachagui timu ya kushiriki hayo mashindano mawili wao wanasuburi majina ya timu kutoka Shirikisho la soka la nchi.
Kanuni ni za ndani tu hizi, TFF inaweza kupeleka jina la IHEFU badala ya SeMBe na SeMBE wasiwe na pakwenda kulalamika.
 
Acha kuandika ujinga. Shirikisho haliwezi kuamua tu Biashara ikashiriki champions league.. hili ni kombe la mabingwa wa nchi husika kwa mwaka huo. Na nchi zilizofanya vizuri zimepewa viwango ndo zina sifa ya kupeleka team 2, club bigwa na team 2 confederation. Wengine ni team bingwa 1 CL, na mshindi wa pili kwenda Confederation au bingwa wa FA kulingana sasa na taratibu za shirikisho husika.
 
Nadhani wataangalia kwenye unafuu, (ni shirikisho) kule kwingine ni kwa wakubwa sio saizi Yao, 😳. Japo hawatachukua Hilo kombe
 
Nadhani uamuzi unabaki kwa timu na Shirikisho la soka la nchi husika.
Kama mwaka jana na mwaka fulani nyuma Yanga alikuwa bingwa wa nchi na ni bingwa wa FA Cup akamua kushiriki Champion League. Mwaka jana angalau kulikuwa na kanuni mwaka ule angeamua kushiriki Shirikisho na ingekuwa sawa tu.
Kumbuka CAF hawachagui timu ya kushiriki hayo mashindano mawili wao wanasuburi majina ya timu kutoka Shirikisho la soka la nchi.
Kanuni ni za ndani tu hizi, TFF inaweza kupeleka jina la IHEFU badala ya SeMBe na SeMBE wasiwe na pakwenda kulalamika.
Naona unawakumbuka ihefu walifanya kitu mbaya sana.
 
Back
Top Bottom