Walituharibia wale.Naona unawakumbuka ihefu walifanya kitu mbaya sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walituharibia wale.Naona unawakumbuka ihefu walifanya kitu mbaya sana.
Mwanachama wa CAF ni Shirikisho la Soka la nchi na si klabu. Ukishakuelewa hilo utajua ni kwani mwaka ule Bakuli FC ya Mwinyi Zahera ilipotolewa na Lipuli ya Matola kwenye nusu fainali ya FA, Lipuli ilicheza fainali na Simba, Simba akawa bingwa wa nchi na FA Cup.Acha kuandika ujinga. Shirikisho haliwezi kuamua tu Biashara ikashiriki champions league.. hili ni kombe la mabingwa wa nchi husika kwa mwaka huo. Na nchi zilizofanya vizuri zimepewa viwango ndo zina sifa ya kupeleka team 2, club bigwa na team 2 confederation. Wengine ni team bingwa 1 CL, na mshindi wa pili kwenda Confederation au bingwa wa FA kulingana sasa na taratibu za shirikisho husika.
Kwa Uto hii inavyopenda sifa, watahiyari wasitetee kombe lao waende huku kwenye hadhi kubwa zaidi, wakafyeke vichaka vya KUFA KIUME kwenye robo fainali.Nadhani wataangalia kwenye unafuu, (ni shirikisho) kule kwingine ni kwa wakubwa sio saizi Yao, [emoji15]. Japo hawatachukua Hilo kombe
😆Kwa Uto hii inavyopenda sifa, watahiyari wasitetee kombe lao waende huku kwenye hadhi kubwa zaidi, wakafyeke vichaka vya KUFA KIUME kwenye robo fainali.
Kongoro limeivaNaomba ufafanuzi juu ya Hilo.
Hapa sasa nimeelewa. Mashabiki wengi sana wa mpira wanakuwa na ubishi usio wa msingi, kutoa maelezo hawawezi. Hata kama mtu anatetea hoja haweki facts anaishia maneno ya uswahiliniMuuliza swali umeuliza swali zuri mno,ila ukitaka kuona JF ina wapumbavu wengi na wajinga wa kutosha nadhani komenti zimekuthibitishia hilo.
Mpaka sasa hakuna aliyejibu swali lako ila wengi wameonyesha namna walivyo wajinga vichwani.
JIBU.
Yanga anaendelea kushiriki kwenye michuano ya kombe la shirikisho(CAF CONFEDERATION CUP) na hivi sasa yupo hatua ya nusu fainali.
Endapo ikatokea akawa bingwa(Kama ndicho unachomaanisha),Je atashiriki mwaka unafuata kama bingwa mtetezi kwenye kombe hilohilo la shirikisho au atashiriki kwenye ligi ya mabingwa Afrika?
Hapa jibu ni Hili,Kama akiwa Bingwa wa ligi kuu ya Tanzania(Tayari ni Bingwa) basi moja kwa moja atashiriki kwenye hatua za mtoano au awali klabu bingwa Afrika ili aingie kwenye makundi,na endapo akifeli kwenye hatua za mtoano au awali basi atarudi kushiriki kwenye kombe la shirikisho kwenye hatua ya mtoano ili apate nafasi ya kupangwa kwenye makundi.
Hawa Ndiyo utopolo Sasa, mazuzu ya hapo jangwani.Nadhani uamuzi unabaki kwa timu na Shirikisho la soka la nchi husika.
Kama mwaka jana na mwaka fulani nyuma Yanga alikuwa bingwa wa nchi na ni bingwa wa FA Cup akamua kushiriki Champion League. Mwaka jana angalau kulikuwa na kanuni mwaka ule angeamua kushiriki Shirikisho na ingekuwa sawa tu.
Kumbuka CAF hawachagui timu ya kushiriki hayo mashindano mawili wao wanasuburi majina ya timu kutoka Shirikisho la soka la nchi.
Kanuni ni za ndani tu hizi, TFF inaweza kupeleka jina la IHEFU badala ya SeMBe na SeMBE wasiwe na pakwenda kulalamika.
Jamii Forum siku hizi bora ya FacebookMuuliza swali umeuliza swali zuri mno,ila ukitaka kuona JF ina wapumbavu wengi na wajinga wa kutosha nadhani komenti zimekuthibitishia hilo.
Mpaka sasa hakuna aliyejibu swali lako ila wengi wameonyesha namna walivyo wajinga vichwani.
JIBU.
Yanga anaendelea kushiriki kwenye michuano ya kombe la shirikisho(CAF CONFEDERATION CUP) na hivi sasa yupo hatua ya nusu fainali.
Endapo ikatokea akawa bingwa(Kama ndicho unachomaanisha),Je atashiriki mwaka unafuata kama bingwa mtetezi kwenye kombe hilohilo la shirikisho au atashiriki kwenye ligi ya mabingwa Afrika?
Hapa jibu ni Hili,Kama akiwa Bingwa wa ligi kuu ya Tanzania(Tayari ni Bingwa) basi moja kwa moja atashiriki kwenye hatua za mtoano au awali klabu bingwa Afrika ili aingie kwenye makundi,na endapo akifeli kwenye hatua za mtoano au awali basi atarudi kushiriki kwenye kombe la shirikisho kwenye hatua ya mtoano ili apate nafasi ya kupangwa kwenye makundi.
We jamaa nadhani unazungumzia iwapo wakishinda confederation cup. Jibu ni kuwa Yanga wakiwa mabingwa wa hilo kombe watafuzu klabu bingwa moja kwa moja.Naomba ufafanuzi juu ya Hilo.
Kuna msimu Egypt ligi haikuisha mapema na al ahaly hakuwa kwenye position ya kwenda club bingwa ila jina lake liliwasilishwa badala ya pyramidsHawa Ndiyo utopolo Sasa, mazuzu ya hapo jangwani.
Kwamba hata MALIMAO FC anaweza akapendekezwa kwenda kucheza Cafcl. Kwamba CAF hawana kanuni. Tff Ndiyo wanaamua.
Tena unaandika kwa kujiamini kabisa.
Kama kawaida yake mzunguko wa pili tu atatolewa Champions L na kurudi Shirikisho kuendeleza ujinga wake.Ok, kyahiyo litakosa bingwa mtetezi?
Kama huelew Hata kitu kidogo kama hicho acha kufuatilia mpira tu.Naomba ufafanuzi juu ya Hilo.
We jamaa Huna ujualo kuhusu football yaani Hadi Aibu.. [emoji28]Mwanachama wa CAF ni Shirikisho la Soka la nchi na si klabu. Ukishakuelewa hilo utajua ni kwani mwaka ule Bakuli FC ya Mwinyi Zahera ilipotolewa na Lipuli ya Matola kwenye nusu fainali ya FA, Lipuli ilicheza fainali na Simba, Simba akawa bingwa wa nchi na FA Cup.
Simba akashiriki CAF CL, kwanini CAF CC jina halikupelekwa la Lipuli ambae ndio makamo bingwa wa FA na ndie alimtoa Yanga kwenye nusu fainali badala yake jina likapelekwa la YANGA ambae alikuwa makamo bingwa wa nchi.
Mashindano ya FA Cup yalitoa mwakilishi gani mwaka ule?
Tumia akili basi hata kwa 0.0000000000000001%
Kwanza ieleweke kuwa Yanga sio kwamba anaenda kucheza champions league kwavile kabeba kombe la caf confederation cup, hapana Yanga atacheza klabu bingwa kutokana na nafasi aliyonayo kwenye ligi kuu ya NBC.We jamaa nadhani unazungumzia iwapo wakishinda confederation cup. Jibu ni kuwa Yanga wakiwa mabingwa wa hilo kombe watafuzu klabu bingwa moja kwa moja.
Yaani ni kama bingwa wa Europa hufuzu kwenda UCL.
Yanga wakitaka mwakani watetee hilo kombe la losers basi wakatolewe mtoano Champions League. Kinyume na hapo watakutana tuu na moto wa kweli kwa wakubwa ambako Simba huonesha ukubwa wake kila mwaka.
Hakuna janja janja kujibanzia kombe la futuhi hilo
Hoja hujibiwa kwa hoja sio viroja.We jamaa Huna ujualo kuhusu football yaani Hadi Aibu.. [emoji28]