Hello!
Najaribu kutumia vizuri ubongo wangu, napata utata kidogo juu ya yafuatayo?
1. Hii ni awamu ya 5 au awamu ya 6 au ni awamu ya 5 second half?
2. Ikiwa hii ni awamu ya 5 second half, ni dhahiri ilani inayotumika ni Ile aliyokabidhiwa Magu 2020-2025. Je ilani mpya inawezekanaje kukabidhiwa mgombea asiyekuwa mpya bila mchujo, aje na radha mpya kwenye uchaguzi mpya ?
3. Tathmini ilifanyika lini ikiwa ilani inayotumika inafika mwisho 2025 na chama kinadhamiria kuleta mgombea wa zamani kutangaza ilani mpya?
Naomba nijibiwe kwa hoja, mihemko tuweke pembeni.
Karibuni🙏