- Thread starter
- #21
Mimi bado nimeshikilia shilingi YANGU kuwa,Kama asingekuwa wakijani ningekubaliana na wewe....plus, Abdul anasikika anatoa mpaka mamilioni ya misaada, bado huoni tu sababu?
1. Hana sababu za msingi kugombea,
2. Hana Nia thabiti kugombea,
3. Hana dhamira njema na ya haki kugombea,
4. Hana maono mapya,
Hivyo,
HATOGOMBEA!