Wasira huyu wa kwenye video na makamo mkt wa ccm wa sasa ni watu wawili tofauti?Wamechanganyikiwa hawa viumbe, msikilize Wasira hapa anachosema
View attachment 3290155
Nimecheka SanaWasira huyu wa kwenye video na makamo mkt wa ccm wa sasa ni watu wawili tofauti?
Kama alianza na Magu 2015, ni dhahiri anamaliza miaka 10,Hii ni awamu ya 5.
- Raisi na makamu wake walichaguliwa kwenye uchaguzi mmoja.
- Anayemalizia hii ngwe, ndiye aliyechaguliwa 2nd half ya awamu ya 5.
- Amerithi kiti kwa zaidi ya miaka 4 kwa mujibu wa Katiba, ingekuwa chini ya miaka hiyo 4, isingehesabiwa kama term kamili, hivyo angekuwa ni Interim.
Na kwasababu hiyo, aliyepo madarakani, anamaliza kipindi chake cha miaka 10 baada ya kuchaguliwa kwa term tofauti kwenye Barrot paper.
Wameanza kwa kubaka katiba yao...nadhani chini ya huyu kila kitu ni batili.Kama alianza na Magu 2015, ni dhahiri anamaliza miaka 10,
Sasa hiyo ilani mpya ccm wanajaribu vipi kumkabidhi yule yule wa zamani Tena bila tathmini wala mchujo kuruhusu wagombea wengine kugombea Ili kuleta Chachu ya uchaguzi mpya 2025?
Karibu 🙏
Trust me, hao Ndio wapiga Kura wa CCM, empty headed baboonsWe jamaa unaleta utani😄😄
Sasa kwa namna yoyote, dola ina Kila sababu kuhakikisha chama kinzani kinashika dola.Wameanza kwa kubaka katiba yao...nadhani chini ya huyu kila kitu ni batili.
Kuiita hii ni awamu ya 6 tu, shida ilikuwa hapo.
Wametangaza mgombea na mgombea mwenza nje ya utaratibu.
- Mgombea wa kwanza atakayekaa kwa mihula 3.
- Muhula wa kwanza watawala wote ni wa upande mmoja.
Ilani ya chama, wanakubaliana kuwa ameridhi kumalizia muhula wake, wasichoweza kufanya ni kumpangia kuwa ni muhula wake wa mwisho kwakuwa dola ni yake na hakuna anayeweza kumfanya lolote.
Kama angeonesha nia ya kutoendelea kama Mpango, basi stori za chama zingekuwa ni tofauti, kuwa hii ni awamu ya 5.
Sasa kwakuwa muhusika ana project "jenga visiwani", jinsi pekee ni kushika usukani na ndio huo sasa.
Ilani ni yake kweli, anamaliza nayo, wakati wa ilani mpya pia ataanza nayo na itafanya ya miaka 5 ili 2030 warejeshe ilani ya miaka 10.
Dola haina intergrity wala patriotism...ni umelo na ubinafsi.Sasa kwa namna yoyote, dola ina Kila sababu kuhakikisha chama kinzani kinashika dola.
Uchaguzi mpya, ilani mpya ila mgombea yule yule wa zamani tangu 2015 akiwa na Magu!Dola haina intergrity wala patriotism...ni umelo na ubinafsi.
Trilioni 54 zimekopwa kwa miaka 4, nini cha wooow kimefanyika ukilinganisha na hizo pesa?
Zimeishia mikononi mwa hao dola na chawaz + visiwani.
- Unasikia kelele zozote saa hii kuhusu Muungano toka wavisiwani?
Same way, hutosikia kelele za dola kwakuwa hawana nia ya kuweka mambo sawa kwakuwa tayari wao mambo ni sawa hivi!
Kutegemea dola ni sawa na kusubiri tende kutoka kwenye mchongoma.
Kama asingekuwa wakijani ningekubaliana na wewe....plus, Abdul anasikika anatoa mpaka mamilioni ya misaada, bado huoni tu sababu?Mimi bado siamini kama ATAGOMBEA