Mimi bado nimeshikilia shilingi YANGU kuwa,Kama asingekuwa wakijani ningekubaliana na wewe....plus, Abdul anasikika anatoa mpaka mamilioni ya misaada, bado huoni tu sababu?
Saaa busara ilikuwa ni kukaa pembeni Ili kupisha ilani mpya,Kiuhalisia ni awamu ya tano, ndiyo inaishia. Tukitaka kupima utendani ya warais wetu tutatumia ilani ya awamu ya tano. Ilani ambayo naye alihusika kuitengeneza akiwa makamu wa rais.
Saa100 akiweza kukujibu, nitakupa 10 mHello!
Najaribu kutumia vizuri ubongo wangu, napata utata kidogo juu ya yafuatayo?
1. Hii ni awamu ya 5 au awamu ya 6 au ni awamu ya 5 second half?
2. Ikiwa hii ni awamu ya 5 second half, ni dhahiri ilani inayotumika ni Ile aliyokabidhiwa Magu 2020-2025. Je ilani mpya inawezekanaje kukabidhiwa mgombea asiyekuwa mpya bila mchujo, aje na radha mpya kwenye uchaguzi mpya ?
3. Tathmini ilifanyika lini ikiwa ilani inayotumika inafika mwisho 2025 na chama kinadhamiria kuleta mgombea wa zamani kutangaza ilani mpya?
Naomba nijibiwe kwa hoja, mihemko tuweke pembeni.
Karibuni🙏
Saa100 hanaga aibu,Yale macho ni makavu kama mwizi mzoefuPolepole:2025 inapoisha Ilani ya 2020-2025,
Ni muda wa kumwaga oil, kufanya tathmini, kuja na ilani mpya 2025-2030, mgombea mpya Katika uchaguzi mpya.
Na Makamo wa Rais, Spika, Waziri Mkuu waliohudumu na Magu, hawapasi kugombea kabisa.
Sasa Samia ajitafakari.
Aliyetengeneza neno awamu ya 6, ni marehemu Kinan..Hello!
Najaribu kutumia vizuri ubongo wangu, napata utata kidogo juu ya yafuatayo?
1. Hii ni awamu ya 5 au awamu ya 6 au ni awamu ya 5 second half?
2. Ikiwa hii ni awamu ya 5 second half, ni dhahiri ilani inayotumika ni Ile aliyokabidhiwa Magu 2020-2025. Je ilani mpya inawezekanaje kukabidhiwa mgombea asiyekuwa mpya bila mchujo, aje na radha mpya kwenye uchaguzi mpya ?
3. Tathmini ilifanyika lini ikiwa ilani inayotumika inafika mwisho 2025 na chama kinadhamiria kuleta mgombea wa zamani kutangaza ilani mpya?
Naomba nijibiwe kwa hoja, mihemko tuweke pembeni.
Karibuni🙏
Anashauriwa vibaya na Mzee yuleSaa100 hanaga aibu,Yale macho ni makavu kama mwizi mzoefu
JK akifa,nchi itatuliaAnashauriwa vibaya na Mzee yule
Wazee ni hazina, ila yule🤔JK akifa,nchi itatulia
Anamla yule bibi ujueWazee ni hazina, ila yule🤔
Mkuu Rabbon, nimekumbuka phrase moja kwenye kitabu cha Chief Chinua Achebe kiitwacho "Things Fall Apart"- "they have put a sword into the things that hold them together. Now the centre can no longer hold. They are now falling apart."Saaa busara ilikuwa ni kukaa pembeni Ili kupisha ilani mpya,
Kupisha uchaguzi mpya,
Kupisha fikra mpya,
Sasa we are in a mess!
Nchi yetu ni muhimu kuliko kiongozi mmoja asiyeshiba!
Hakika.Mkuu Rabbon, nimekumbuka phrase moja kwenye kitabu cha Chief Chinua Achebe kiitwacho "Things Fall Apart"- "they have put a sword into the things that hold them together. Now the centre can no longer hold. They are now falling apart."
Awamu ni nini mkuu? Na tuna nukuu kutoka chanzo gani?Hakika.
Eti awamu ya sita ianze 2021, ilhal Ilani ya uchaguzi ibaki Ile Ile ya 2020-2025,
Mkanganyiko huo haukubaliki.