Ikiwa Barca haitofika Fainali kuna kigezo kingine cha kutompa Messi Ballon d'or????

McDonath

Senior Member
Joined
Jan 2, 2018
Posts
110
Reaction score
105
Habari wana jamvi pendwa la Sport(Football)
Mchezo pendwa zaidi ulimwenguni lakini kama haitoshi kwa kizazi hichi M/Mungu akatubariki kuweza kushuhudia miongoni mwa wasakata kabumbu bora zaidi wa muda wote (Messi & Ronaldo) but to me namtambua Leonel Messi kama mchezaji bora wa muda wote.

Tuachane na hayo lengo la kuleta huu uzi hapa ni kutaka kujua vigezo vinavyotumika kumpata mchezaji bora wa tuzo ya Ballon d'or na je kuna mchezaji yeyote ambaye anaweza mzidi Messi kwa preference ya tuzo hii msimu huu ikiwa takwimu za Messi msimu huu ni kama ifuatavyo
La liga 32 goals
UEFA 12 goals
[emoji471] Copa del lay(Champion)
[emoji471] La Liga(Champion)
UEFA(Semi final)

Je! Ikitokea Barcelona imeondoshwa kwenye mashindano na Liverpool kuna possibility ya mchezaji mwingine kushinda Tuzo hii mbali Messi

Nawasilisha
 
Haiwezekan liverpool kumtoa barcelona goli 4 ni nying sanaa

Labda ajax, final ampige chini barcelona,
 
Wananzengo napenda kuwasiliana nanaomba nisieleweke vibaya maana mm n shabiki wa arsenal napenda kusema na naomba ieleweke hivi kwenye suala Zima la uefa hakuna ligue yenye tmu Bora Kama Spain na hlo liko wazi syo liverpool tu hata tmu gani ya England inengekutana na Barca semi - final lazma wakalishwe tu Spain zinakuwaga wazembe Huku chini lakn ikifka huko juu n habar nyingine. Liverpool hawana ujanja wowote Wala mabavu kuizuia Barca isipate goli labda iwenyeme ushindi anfield lakn syo kuwanyima kupata goli. Hivyo mpaka Sasa liverpool out of championship. Final n Barca na ajax hapo Sasa lolote laweza kutokea maana ajax nao n hatar Sana na bado wananguvu na wengi ni vijana Sana.
 
Yeah timu za England vs za Spain hatuna nguvu kabisa
Nikikumbuka United alivyoyelewa na Sevilla OT nikawavua vyeo waingereza dhidi ya Spain kabisa
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mzee ballon d'or hainaga vigezo ina kupigiwa kura ndio(mapenzi binafsi) maana kuna miaka wanabeba wachezaji huku kwa vigezo vyetu sisi tunaona wanafaa ila kwa kura ya wapigaji kura hawachukui..
2010 km sikosei sneijder ama iniesta walikuwa na vigezo zaidi lakini hawakupewa...

Ila kwa hali ilivyo mpaka sasa hiv messi ana asilimia 90 kubeba hyo kitu.
 
Liverpool kupata 4 goals n ndoto ya mchana
Haiwezekan liverpool kumtoa barcelona goli 4 ni nying sanaa

Labda ajax, final ampige chini barcelona,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Liverpool kupata 4 goals n ndoto ya mchana
IMG_6088.JPG
IMG_6092.JPG
IMG_6098.JPG
IMG_6097.JPG
IMG_6084.JPG
 
Wananzengo napenda kuwasiliana nanaomba nisieleweke vibaya maana mm n shabiki wa arsenal napenda kusema na naomba ieleweke hivi kwenye suala Zima la uefa hakuna ligue yenye tmu Bora Kama Spain na hlo liko wazi syo liverpool tu hata tmu gani ya England inengekutana na Barca semi - final lazma wakalishwe tu Spain zinakuwaga wazembe Huku chini lakn ikifka huko juu n habar nyingine. Liverpool hawana ujanja wowote Wala mabavu kuizuia Barca isipate goli labda iwenyeme ushindi anfield lakn syo kuwanyima kupata goli. Hivyo mpaka Sasa liverpool out of championship. Final n Barca na ajax hapo Sasa lolote laweza kutokea maana ajax nao n hatar Sana na bado wananguvu na wengi ni vijana Sana.
Kwa hii tabia uliyoionyesha hapa lazima utakuwa na watoto wengi au umetoa mimba nyingi sana
 
Wananzengo napenda kuwasiliana nanaomba nisieleweke vibaya maana mm n shabiki wa arsenal napenda kusema na naomba ieleweke hivi kwenye suala Zima la uefa hakuna ligue yenye tmu Bora Kama Spain na hlo liko wazi syo liverpool tu hata tmu gani ya England inengekutana na Barca semi - final lazma wakalishwe tu Spain zinakuwaga wazembe Huku chini lakn ikifka huko juu n habar nyingine. Liverpool hawana ujanja wowote Wala mabavu kuizuia Barca isipate goli labda iwenyeme ushindi anfield lakn syo kuwanyima kupata goli. Hivyo mpaka Sasa liverpool out of championship. Final n Barca na ajax hapo Sasa lolote laweza kutokea maana ajax nao n hatar Sana na bado wananguvu na wengi ni vijana Sana.
Teh ....
 
Habari wana jamvi pendwa la Sport(Football)
Mchezo pendwa zaidi ulimwenguni lakini kama haitoshi kwa kizazi hichi M/Mungu akatubariki kuweza kushuhudia miongoni mwa wasakata kabumbu bora zaidi wa muda wote (Messi & Ronaldo) but to me namtambua Leonel Messi kama mchezaji bora wa muda wote.

Tuachane na hayo lengo la kuleta huu uzi hapa ni kutaka kujua vigezo vinavyotumika kumpata mchezaji bora wa tuzo ya Ballon d'or na je kuna mchezaji yeyote ambaye anaweza mzidi Messi kwa preference ya tuzo hii msimu huu ikiwa takwimu za Messi msimu huu ni kama ifuatavyo
La liga 32 goals
UEFA 12 goals
[emoji471] Copa del lay(Champion)
[emoji471] La Liga(Champion)
UEFA(Semi final)

Je! Ikitokea Barcelona imeondoshwa kwenye mashindano na Liverpool kuna possibility ya mchezaji mwingine kushinda Tuzo hii mbali Messi

Nawasilisha

IMG_6093.JPG
 
Back
Top Bottom