DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mfano Leo tupo hai twachukiana Sana. Usoni twacheka hila ni rohoni vita vikali Sana.
Nasema hivi kwanini mwaka 2013 mtoto wa Mama Mdogo ambaye alitabiriwa kuja kuwa Mwangaza wa Maisha na aliyeonekana Kama Nyota ya Familiya, na aliyekuwa anaweka bidii kwa masomo na kuipambania future yake.
Aliishia kupewa Mimba na Kupata four ya mwisho na aliyempa alikuwa ni mwanafunzi mwenzie. Huyo Jamaa alimkataa na kusema Hana viwango vya kuolewa naye.
Nini nataka kusema Familiya ililipuka kwa shangwe kubwa Sana kwamba acha apewe Mimba tu mshamba anajiona msomi sister duhu matawi ya Juu. So niliwaza labda walibidi wampe pole kumbe wapi?
Anapitia yote haya kipindi hamjui baba na huku Mama yake ni masikini wa kutupwa, achilia mbali sisi ndugu zake ambao tulikuwa wadogo by that time.
Baada ya miaka kusonga najikuta I'm matured Enough na naona walifanya makosa Makubwa kushangilia huyo dada angu kupewa Mimba na kuua ndoto zake za kuwa daktari wa Binadamu Pamoja na juhudi za kure-sit akapata Tena division four ya mwisho.
Aisee Binadamu tupendane, Maisha yanatisha. Sana. Maana huyu my sister now she depressed.
Hana Tumaini huko Facebook Anaandika vichambo, matusi, Anahis kila Mtu ni mbaya wake. I guess she is going through psychological trauma, mwanae analelewa na Bibi mzaa bibi.
NB: Uzinzi ndo njia sahihi ya kukutoa kwenye reli.