Ikiwa ingekubidi ule vyakula vichache pekee maisha yako yote nini ungekula na kwanini ?

Ikiwa ingekubidi ule vyakula vichache pekee maisha yako yote nini ungekula na kwanini ?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Tufanye umeambiwa uchague vyakula fulani bora ila vichache na itakubidi ndo uvile maisha yako yote usibadilishe aina nyingine me nadhani ambavyo ningeweza kufikiria vingekuwa ni.

1.parachichi Kwa sababu ya afya ya moyo.

2.kabeji au tembere maana ina vitamini k,na itazuia saratani.

3.samaki maana mafuta yake mazur hayana cholesterol.

4.kitunguu saumu na cha kawaida pale nakuwa nimemaliza Kwa ishu ya pressure

5.karanga na Maharage hapo nakuwa nimemaliza Kwa ishu ya kupata protini.

6.machungwa hapa nafukuzi vitamini C.

7.viazi vitamu chanzo kikubwa cha carbohydrate

Maana yangu ni nini yaani kama ukichagua hivyo ndo ujue vyakula vingine vya kawaida hutakula maishani sijui wali, kitimoto, dagaa, ugali, n. K
 
Ugali dona na dagaa mchelee, jani - tembele na figiri - tunda ndizi, chungwa, parachichi
Sema kwenye tunda hapo ujue matikiti na matango source nzuri Sana ya zinc na magnesium.. Itakuaje kuzikosa mwaka mzima na zinasaidia mambo ya sex
 
Sema kwenye tunda hapo ujue matikiti na matango source nzuri Sana ya zinc na magnesium.. Itakuaje kuzikosa mwaka mzima na zinasaidia mambo ya sex
Tango sawa ..... Matikiti kuna mada humu inasema matikiti hayana sukari wala rangi nzuri ka ya zamani
 
Tufanye umeambiwa uchague vyakula fulani bora ila vichache na itakubidi ndo uvile maisha yako yote usibadilishe aina nyingine me nadhani ambavyo ningeweza kufikiria vingekuwa ni.

1.parachichi Kwa sababu ya afya ya moyo.

2.kabeji au tembere maana ina vitamini k,na itazuia saratani.

3.samaki maana mafuta yake mazur hayana cholesterol.

4.kitunguu saumu na cha kawaida pale nakuwa nimemaliza Kwa ishu ya pressure

5.karanga na Maharage hapo nakuwa nimemaliza Kwa ishu ya kupata protini.

6.machungwa hapa nafukuzi vitamini C.

7.viazi vitamu chanzo kikubwa cha carbohydrate

Maana yangu ni nini yaani kama ukichagua hivyo ndo ujue vyakula vingine vya kawaida hutakula maishani sijui wali, kitimoto, dagaa, ugali, n. K
Ugali dagaa, maharage,tembele

Viazi mbatata
 
Chapati laini zilizochambuka na rosti la maini au kuku
Ugali mdudu mkavu na kachumbari nyembamba kama minyooo
Tubia castle lite tunne kwa siku

Mabiringanya tupa jalalani,tambi tupa jalalani ,mandizi tupa jalalani.
 
Siku ukipata mgeni inabidi uingie gharama za kununua vyakula ambavyo yeye ameruhusia kuvila,hata kwenye mahotel kutakua na Menu ya kila mtu!

😀

Haya mambo ya kufikirika zaidi kiongozi. Mwenyezi Mungu katuwekea vyakula mbali mbali tuchague na kula tunachokipenda.

Sasa huyu ndege JOHN homeboy naona anataka kutuzonga tu.

Chamsingi angejaribu kuweka aina ya vyakula na faida zake ili isaidie wasomaji kujua ni vyakula Gani wavitafute kutokana na mahitaji ya miili Yao.
 
Wali nazi maharage nazi yawe na kailiki 🙈 na chai ya rangi
 
  • Nzuri
Reactions: EEX
Back
Top Bottom