Sema hii naona inakuwa hatari kwa wakazi wa Gaza maana wanauliwa vibaya sana kwa kisingizio cha matekaToka mimi nakua ni mwendo wa vita Kati ya Israel na upande wa Gaza,waache waendelee kudundana waki choka watapumzika,wakipata pumzi wanaendelea tena!!!
Dunia kuuuubwa namna hii, ikang'ang'anie mahala palipojaa matatizo kisa nini???Sema hii naona inakuwa hatari kwa wakazi wa Gaza maana wanauliwa vibaya sana kwa kisingizio cha mateka
Dah kwahiyo waondoke pale Gaza sio kiongoziDunia kuuuubwa namna hii, ikang'ang'anie mahala palipojaa matatizo kisa nini???
Yan just for ancestoral background reasons ndio watu wakomalie hapo gaza kwa gharama ya mauti yao na wapendwa wao??
Siwez fanya hio kitu.
Lakini hii vita haikuwa ya kidini mwanzo bali ni matokeo ya Hamas kufanya mashambulizi ya kushutukiza na kukamata raia ndani ya Israel kuwafanya matekaDini Ya mudi ndio imewajaza upambavu kichwani kwa kuona wasio wa dini hiyo ni makafir. Sasa Israel inawapa maana halisi ya neno kafir
NImeongea personally like mimi ningekua mkazi wa gaza. Nisingebaki hapo. Na nina amini kuwa waliondoka wakaangalie ustaarabu wa maisha mahala pengine.Dah kwahiyo waondoke pale Gaza sio kiongozi
Shida nani yuko tayari kukupokea ikiwa utaondoka pale? Na je maisha huko unakoenda itakuaje?NImeongea personally like mimi ningekua mkazi wa gaza. Nisingebaki hapo. Na nina amini kuwa waliondoka wakaangalie ustaarabu wa maisha mahala pengine.
Hii ya CCM ni mpya kiongozi lakini hapa najaribu kuwaza kama Israel ataendelea hivi Gaza si patabaki patupuMbona hiyo serikali ya CCM.imekuwa inawaua wananchi wanaohojia mambo yasiyikwenda sawa ndani ya nchi.?
Lakini mateka wengine sio wayahudi kaka,kuna hadi mtanzania ambaye nadhani alipoteza maisha (RIP)Achieni watoto wa Wayahudi ili muishi kwa amani, mlichinja watoto wao huku mkiimba Allah Akbar ila msichokijua kabla ujio wa allah kulikua na miungu wengine waliojaribu kufuta Wayahudi kwenye ardhi yao ila wakashindwa akina miungu Baal wa wafilisiti.
Hao wote Baal, Allah, Krishna n.k. hawawezi kumzidi Mungu muumba wa Dunia, Jehovah Mungu aliyewabariki Israel tangu mwanzo.
Kwahiyo mateka wakirejeshwa hii vita inaweza malizika sioWashaambiwa waachie mateka lakini hawataki ......wamebembelezwa sana kurudisha maiti lakini hawataki basi kifuatacho nadhani mnakijua ..........hakuna kuwaonea huruma ndio maana hata waarabu wenzao wako kimya ................rudisheni mateka wao mbona kama mnataka kutumia mabavu wakati hizo mbavu tu za kutunisha hamna basi wache wabondwe mpaka waishe............ na mimi nasapoti wapigwe tu sababu wanayo maiti ya mtanzania mpaka leo hawataki kuiachia mpaka wazazi wa yule kijana waliomba kwa hamas bado wamekaza fuvu......na mwisho tuangalie vita congo ........gaza mbali sana wana majirani zao kule sio nyinyi kobazi wa namabengo...........
Hilo ndio jibu ambalo hao jamaa hawataki kusikia wanaona bora wafe tuKwahiyo mateka wakirejeshwa hii vita inaweza malizika sio
Basi watakuwa wanawasaliti ndugu zao wanaomalizwa na mashambulizi ya Israel kila siku.Hakuna logic yoyote ya kubaki na mateka huku maelfu ya jamaa zako wanamalizwaHilo ndio jibu ambalo hao jamaa hawataki kusikia wanaona bora wafe tu
Eti visingizio vya mateka!!Sema hii naona inakuwa hatari kwa wakazi wa Gaza maana wanauliwa vibaya sana kwa kisingizio cha mateka
Wewe jiulize maiti ya mtanzania inawasaidia nini mpaka leo wamegoma kuirudisha ...........hizo za Israel wacha wabaki nazo ya mtanzania inafanya nini kule???????Basi watakuwa wanawasaliti ndugu zao wanaomalizwa na mashambulizi ya Israel kila siku.Hakuna logic yoyote ya kubaki na mateka huku maelfu ya jamaa zako wanamalizwa
Toka mimi nakua ni mwendo wa vita Kati ya Israel na upande wa Gaza,waache waendelee kudundana waki choka watapumzika,wakipata pumzi wanaendelea tena!!!