Labda kuna kuna ajenda za siri ambazo hawataki tuzijue lakini Hamas wanawakosea sana jamaa zao wa Gaza maana Israel itawamaliza kabisaWewe jiulize maiti ya mtanzania inawasaidia nini mpaka leo wamegoma kuirudisha ...........hizo za Israel wacha wabaki nazo ya mtanzania inafanya nini kule???????
Yeah ndicho kitu Israel kaweka wazi kama sio mateka basi Israel kushambulia Gaza unakuwa ukorofi tuEti visingizio vya mateka!!
Hamas walikosea lakini kwa mauaji anayofanya Israel Gaza yameniacha na maswali mengi endapo hayatakoma sijuiAliyewashauri hamas wawavamie wayahudi siku ile aliwaingiza chaka wa gaza. Wanajuta sasa!
Wayahudi wamejua kuwakomesha Kobaz alooo!
Hii dunia ina unafiki mwingi sana.Hizi mambo sijui UN na kelele nyingine zipo kama midoli tuIsrael anataka wapalestina wakimbie Gaza, ili settlers wao wachukue ardhi.
Na dunia inaangalia tu. Kama hakuna kinachoendelea.
Kweli dunia hadaa na ulimwengu shujaa
Wapalestina wengi wamekimbia Gaza,na wengi wanatamani kuondoka lakini hawawezi. Nchi jirani zimefunga mipakaDunia kuuuubwa namna hii, ikang'ang'anie mahala palipojaa matatizo kisa nini???
Yan just for ancestoral background reasons ndio watu wakomalie hapo gaza kwa gharama ya mauti yao na wapendwa wao??
Siwez fanya hio kitu.
Hapo sawa,.ilibid wasepe.kitambooWapalestina wengi wamekimbia Gaza,na wengi wanatamani kuondoka lakini hawawezi. Nchi jirani zimefunga mipaka
Ona hii takataka ......🚮 ..Dini Ya mudi ndio imewajaza upambavu kichwani kwa kuona wasio wa dini hiyo ni makafir. Sasa Israel inawapa maana halisi ya neno kafir
Hawawezi kuisha, wengine wanakufa wengine wanazaliwaLabda kuna kuna ajenda za siri ambazo hawataki tuzijue lakini Hamas wanawakosea sana jamaa zao wa Gaza maana Israel itawamaliza kabisa
🖕Ona hii takataka ......🚮 ..
Mavi matupu kichwani..
Habari za wakati huu ndugu na jamaa popote mnakopatikana.
Leo baada ya kusoma habari ya vifo vya watu takribani 46 huko Gaza baada ya shambulizi la Israel kuna maswali nimejiuliza hapa ambayo ningependa kupata majibu kwa mwenye kujua.
Toka mwaka 2023 kumekuwa na mapigano kati ya jeshi la Israel na kikundi cha wanamgambo wa Hamas huko mashariki ya kati.Israel amekuwa na matumizi makubwa ya siraha nzito kwa lengo la kukomboa mateka ambao ni raia wa taifa lake na mataifa mengine pia.
Vita imeambatana na vifo vya raia wengi sana katika maeneo ya Gaza bila kikomo sasa.Swali langu ni je,Gaza inawakazi wangapi?(maana nikiangalia matukio mengi waliyoripoti aljazeera inaoneka vifo ni vingi sana)
Swali jingine ni hili,itatokea nini ikiwa Israel ataendelea kufanya mashambulizi kila wakati na kufanya mauaji?
Je,Hamas wakiachia mateka huu mzozo unaweza kuisha?
Ni hayo tu kwa leo.
Hao hamas wameyataka au tuseme wamezoea vita,Israel alikuwa anatafuta sababu ya kuwadunda na kashaipata!Sema hii naona inakuwa hatari kwa wakazi wa Gaza maana wanauliwa vibaya sana kwa kisingizio cha mateka
Hii dunia ina unafiki mwingi sana.Hizi mambo sijui UN na kelele nyingine zipo kama midoli tu
Hili la Israel ni tatizo kubwa na linataka hekima kulitafutia ufumbuzi.
Sio suala la kufanya kwa mihemko ya kidini. Linatuhusu binadamu wote na wa dini zote
Hili la Israel ni tatizo kubwa na linataka hekima kulitafutia ufumbuzi.
Sio suala la kufanya kwa mihemko ya kidini. Linatuhusu binadamu wote na wa dini zote
Wabaki ili myahudi aendelee kuwagaragaza vizuriDah kwahiyo waondoke pale Gaza sio kiongozi
Israel ndio iliwatuma Hamas kuanzisha shambulio la kigaidi la Oct 7 ?!Israel anataka wapalestina wakimbie Gaza, ili settlers wao wachukue ardhi.
Na dunia inaangalia tu. Kama hakuna kinachoendelea.
Kweli dunia hadaa na ulimwengu shujaa
Naunga mkono 100%. Washughulikiwe bila hurumaWashaambiwa waachie mateka lakini hawataki ......wamebembelezwa sana kurudisha maiti lakini hawataki basi kifuatacho nadhani mnakijua ..........hakuna kuwaonea huruma ndio maana hata waarabu wenzao wako kimya ................rudisheni mateka wao mbona kama mnataka kutumia mabavu wakati hizo mbavu tu za kutunisha hamna basi wache wabondwe mpaka waishe............ na mimi nasapoti wapigwe tu sababu wanayo maiti ya mtanzania mpaka leo hawataki kuiachia mpaka wazazi wa yule kijana waliomba kwa hamas bado wamekaza fuvu......na mwisho tuangalie vita congo ........gaza mbali sana wana majirani zao kule sio nyinyi kobazi wa namabengo...........