Yeah kuisha huu mzozo naona ni kipengele lakini hofu yangu inabaki kwamba Israel kwa mwaka jana na mwaka huu anafanya mashambulizi ya hatari ambayo si salama kwa raia.Je,ikidumu muda mrefu bila kusita Gaza si itakuwa majivu kama ilivyo kuwa miji kama Allepo huko SyriaMkuu, Mzozo huu hauwezi kuishi, kwa sababu zifuatazo.
Hivyo mkuu, kuachia mateka hakusaidii chochote kile, Hamas wanalijua hilo, mgogoro una mizizi mizito mno chini yake!
- Madai ya Hamas ni kuwa Israel iko pale na haitakiwi kuwepo! Unadhani hilo linaweza kutokea? Na October 7 imefanya hata lile wazo la " Two State Solution" ambalo baadhi ya Waisrael huwa kuna nyakati walikuwa wanalikubali, sasa hawalitaki kabisa!
- Ujio wa Trump umeipa nguvu Israel, kuupuuza kila kitu kinachozungumzwa dhidi ya Israel Ulimwenguni, hayo matamko kutoka kwenye Mahakama za Kimataifa, Israel imepata nguvu ya kuyapuuza kabisa kwa ujio wa Trump.
- Hamas inajua wazi ikirudisha mateka haina chochote kile kama "bargaining cheap" hakuna chochote cha kubadilisha na Israel, hivyo Israel itakuwa na uhuru zaidi wa kufanya chochote Gaza! Ndio maana Hamas kwa makusudi kabisa hawataki kurudisha mateka wote! Watakuwa mikono mitupu katika negotiating table.
- Mkuu, ugomvi huu una mengi ndani yake! Kuna swala la kidini kuliko ardhi! Kundi la baadhi ya Waislamu wanaamini eneo la Israel , ni wakfu...ni la Waislamu, na Israel (Sio wote) wanaamini hapo ni nchi ya ahadi waliyopewa na Mungu! Je unadhani ugomvi wa Imani unaweza kumalizwa kwa kujadiliana? Soma Charter ya kuanzishwa Hamas! Hili liko wazi kabisa.
- Kuna kundi kubwa la Waakristo (Hasa Marekani) amabao wana nguvu mno katika ku influence serikali ya Marekani, hawa wanaamini kuwepo kwa Israel pale ni kutimiza Maandiko, Masihi Yesu, Israel,lazima iwepo hapo! Na msikiti wa Al Aqsa lazima ubomolewe, ili hekalu la Kiyahudi lijengwe hapo! Kundi hili lina pesa na uwezo mkubwa Marekani, na hawa ni support wakubwa wa Trump!
Dah hutaki wapalestina wapumue kiongoziNaunga mkono 100%. Washughulikiwe bila huruma
Sema shida direct impact wanapata wakazi wa Gaza hao mgambo wa Hamas wenyewe wanajitokeza tu muda kidogo kwa matukio na kuingia mitini raia wanaachwa waonje chungu na tamu ya michezo ya wayahudiHao hamas wameyataka au tuseme wamezoea vita,Israel alikuwa anatafuta sababu ya kuwadunda na kashaipata!
Walipoua watanzania wenzetu wawili kama vibaka waliwapa nafasi ya kupumua?!Dah hutaki wapalestina wapumue kiongozi
Arabs wote, hata na, Turkey na Qatar, wamefyata mikia,Israel ameishaua Sana, hakuna unyama hajafanya,Habari za wakati huu ndugu na jamaa popote mnakopatikana.
Leo baada ya kusoma habari ya vifo vya watu takribani 46 huko Gaza baada ya shambulizi la Israel kuna maswali nimejiuliza hapa ambayo ningependa kupata majibu kwa mwenye kujua.
Toka mwaka 2023 kumekuwa na mapigano kati ya jeshi la Israel na kikundi cha wanamgambo wa Hamas huko mashariki ya kati.Israel amekuwa na matumizi makubwa ya siraha nzito kwa lengo la kukomboa mateka ambao ni raia wa taifa lake na mataifa mengine pia.
Vita imeambatana na vifo vya raia wengi sana katika maeneo ya Gaza bila kikomo sasa.Swali langu ni je,Gaza inawakazi wangapi?(maana nikiangalia matukio mengi waliyoripoti aljazeera inaoneka vifo ni vingi sana)
Swali jingine ni hili,itatokea nini ikiwa Israel ataendelea kufanya mashambulizi kila wakati na kufanya mauaji?
Je,Hamas wakiachia mateka huu mzozo unaweza kuisha?
Ni hayo tu kwa leo.
[And said], If you do good, you do good for yourselves; and if you do evil, [you do it] to them [i.e., yourselves]. Then when the final [i.e., second] promise came, [We sent your enemies] to sadden your faces and to enter the masjid [i.e., the temple in Jerusalem], as they entered it the first time, and to destroy what they had taken over with [total] destruction..... Qur’an 17:7Habari za wakati huu ndugu na jamaa popote mnakopatikana.

Ni kweli sema jeshi la Israel wangetarget makazi ya Hamas pekee kwenye operations zao lakini sahivi wanapiga hadi sehemu ambazo ni raia wema wanakaaWalipoua watanzania wenzetu wawili kama vibaka waliwapa nafasi ya kupumua?!
China kumuingiza kwenye vita kizembe hawezi,china anaweza kuingia vitani ikiwa Taiwan italeta kelele,Hong Kong(ambayo tayari alinyakua mamlaka yake ya ndani) basi.Anayeweza kuwasaidia hapa ni Iran.Arabs wote, hata na, Turkey na Qatar, wamefyata mikia,Israel ameishaua Sana, hakuna unyama hajafanya,
Si, UN, wala, nini Israel, atasikiliza, dawa, pekee, Israel, achapwe kombora moja tu, litoke China, au Russia, Turkiye,
Wangoni waliondoka Afrika kusini wanaishi vizuri tu Songea, Gaza Kuna nini cha maana cha kuwashinda makaburu waliondoka uholanzi na kuishi South Africa.Dah kwahiyo waondoke pale Gaza sio kiongozi
Huyo wanayeamini amewapa huyo ardhi mbona hawasimamii kumshinda aduiTangawizi:
Nani kakuambia sio swala la kidini? Umeisoma Charter ya Hamas jamaa yangu?
Goals of the HAMAS:------------------'The Islamic Resistance Movement is a distinguished Palestinian movement, whose allegiance is to Allah, and whose way of life isIslam. It strives to raise the banner of Allah over every inch of Palestine.' (Article 6)
On the Destruction of Israel:-----------------------------'Israel will exist and will continue to exist until Islam will obliterate it, just as it obliterated others before it.' (Preamble)
The Exclusive Moslem Nature of the Area:----------------------------------------'The land of Palestine is an Islamic Waqf [Holy Possession]consecrated for future Moslem generations until Judgment Day. No one can renounce it or any part, or abandon it or any part of it.'(Article 11)
Article 13:
'Palestine is an Islamic land... Since this is the case, the Liberation of Palestine is an individual duty for every Moslem wherever he may be.'
Mhemuko wa kidini uko wapi hapa? Article 13 iko wazi kabisa : the Liberation of Palestine is an individual duty for every Moslem wherever he may be.'
Wengi wanajitoa ufahamu, Hamas lengo lake liko wazi kabisa, kuiondoa Israel katika nchi ambayo ni Wakf ( Nchi takatifu) ambayo Mnyaazi Mungu amewapa Waislamu.....!
Na nikipata nafasi nitakupa mtazamo wa Israel, ambao nao wanadai kabisa hiyo ni nchi yao walipewa na Mwenyezi Mungu....Tusijiondoe ufahamu, Kwa sehemu kubwa kabisa hivyo ni vita vya kidini!
Dini Ya mudi ndio imewajaza upambavu kichwani kwa kuona wasio wa dini hiyo ni makafir. Sasa Israel inawapa maana halisi ya neno kafir
Israel ndio iliwatuma Hamas kuanzisha shambulio la kigaidi la Oct 7 ?!
Sema kipindi cha Ngoni migration mambo yalikuwa tofauti na sasa.Kipindi kile kulikuwa na chiefdom lakini sahivi tuna independent countriesWangoni waliondoka Afrika kusini wanaishi vizuri tu Songea, Gaza Kuna nini cha maana cha kuwashinda makaburu waliondoka uholanzi na kuishi South Africa.
Wewe jiulize maiti ya mtanzania inawasaidia nini mpaka leo wamegoma kuirudisha ...........hizo za Israel wacha wabaki nazo ya mtanzania inafanya nini kule???????
Dini ya kiyahudi pia ina mafundisho makali sana, sema wao Musa hakuwafundisha waende kulazimisha Watu wawe Wayahudi au kuwa Mungu anagawa k*ma.Dini Ya mudi ndio imewajaza upambavu kichwani kwa kuona wasio wa dini hiyo ni makafir. Sasa Israel inawapa maana halisi ya neno kafir