Ikiwa kama Dunia nzima inajua Mgogoro wa DRC unasababishwa na Kagame, Vikao vinavyofanyika ni vya nini?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hizi danadana za kuacha kuishughulikia Rwanda zinaletwa na nani na kwanini?

Nawapongeza Raia wa Congo kwa kuamua kupiga kiberiti balozi zote zilizo nchini humo, maana Inajua kila kitu kuhusu jambo hili lakini zimenyamaza.

Dunia isitupotezee muda, maana ni dhahiri inaunga mkono uvamizi wa Rwanda nchi Congo.

Ni wakati wa Wacongo wote walio kote dunia kuungana ili kuokoa Nchi yao kwa udi na Uvumba.
 
Ni wakati wa Wacongo wote walio kote dunia kuungana ili kuokoa Nchi yao kwa udi na Uvumba.📌🔨
 
Hizi danadana za kuacha kuishughulikia Rwanda zinaletwa na nani na kwanini?

Nawapongeza Raia wa Congo kwa kuamua kupiga kiberiti balozi zote zilizo nchini humo, maana Inajua kila kitu kuhusu jambo hili lakini zimenyamaza.

Dunia isitupotezee muda, maana ni dhahiri inaunga mkono uvamizi wa Rwanda nchi Congo.

Ni wakati wa Wacongo wote walio kote dunia kuungana ili kuokoa Nchi yao kwa udi na Uvumba.
Ma~Rais Dhaifu
Ndiyo Maana Umoja Wao Upo Jina Tu
 
Hizi danadana za kuacha kuishughulikia Rwanda zinaletwa na nani na kwanini?

Nawapongeza Raia wa Congo kwa kuamua kupiga kiberiti balozi zote zilizo nchini humo, maana Inajua kila kitu kuhusu jambo hili lakini zimenyamaza.

Dunia isitupotezee muda, maana ni dhahiri inaunga mkono uvamizi wa Rwanda nchi Congo.

Ni wakati wa Wacongo wote walio kote dunia kuungana ili kuokoa Nchi yao kwa udi na Uvumba.

..jeshi la Drc lilijisalimisha.

..jeshi la Burundi lilitokomea.

..M23 wakateka mji wa Goma.

..Rwanda pamoja na udogo wake ndiyo namba 2 ktk kuchangia vikosi vya kulinda amani vya UN

..Kagame ana pesa nyingi mno kwa ajili ya vita.
 
Back
Top Bottom