Ikiwa kama Dunia nzima inajua Mgogoro wa DRC unasababishwa na Kagame, Vikao vinavyofanyika ni vya nini?

Ikiwa kama Dunia nzima inajua Mgogoro wa DRC unasababishwa na Kagame, Vikao vinavyofanyika ni vya nini?

Kumchinja mbwa kunahitaji timing🐕
1000021566.jpg
 
tshekedi sasa ni pupoet wa Trump huko ndio anatoa kiburi aajame Timing ya hii kitu sio ya muchezo.

Wakuu wa maziwa Makuu na wakuu wengine wa Afrika wasipoangalia, huu ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wa kuwa huru.

Akishaingia huyu Mmarekani. Kazi kwisha. tusubirini wakae wiki mbili baadae tutaona. Wahafidhina tiyar wanapiga mahesabu huko
 
Hizi danadana za kuacha kuishughulikia Rwanda zinaletwa na nani na kwanini?

Nawapongeza Raia wa Congo kwa kuamua kupiga kiberiti balozi zote zilizo nchini humo, maana Inajua kila kitu kuhusu jambo hili lakini zimenyamaza.

Dunia isitupotezee muda, maana ni dhahiri inaunga mkono uvamizi wa Rwanda nchi Congo.

Ni wakati wa Wacongo wote walio kote dunia kuungana ili kuokoa Nchi yao kwa udi na Uvumba.
Unafiki wa viongozi wa Afrika ni sehemu ya utamaduni wetu.
 
DRC imekuwa katika vita kabla hata Kagame hajawa Rais
Acha majungu zayuni wa buza. DRC kuwa kwenye vita kabla ya kagame kuwa Rais hiyo haibatilishi kuwa kagame na Rwanda yake ndio Chanzo cha vita ya sasa hapo goma,, sababu ya vita ya maji maji na ile ya uganda dhidi ya amin ni tofauti kwa nyakati zake,, so huwezi kusema amini hana kosa kwa kuwa sisi tunapenda vita kwani before tulipigana vita ya majimaji ,, alafu kumbe we ni mnyarwanda ndo mana unajifanya mjuaji kenge wewe....
 
Je huu ndio msimamo wetu CHADEMA wa jumping on bandwagon ya kulaumu Rwanda?

Au sisi foreign policy yetu iwe ni Mazungumzo kati ya pande zote kwenye mgogoro huo?
Wewe ni Mtusi utafikiwa acha kujificha kwenye mwavuli wa chadema
 
Wewe ni Mtusi utafikiwa acha kujificha kwenye mwavuli wa chadema
Kwahiyo mtusi sio mtanzania? tuna bahati sana Tanzania maana wakabila kama wewe sio wengi na hamna nguvu la sivyo tungekuwa kama Congo, Somalia au Burundi etc, ogopa sana wafia dini, wakabila and ignorant
 
Kiburi cha Kagame kinampeleka kubaya. Naliona anguko lake sababu kwa sasa ameconcentrate na ishu ya Congo kwake ndani kuna moto akija kustuka itakuwa imekula kwake.
Mkuu siyo kweli. Kwake ndo anaogopwa kupita maelezo. Na huko kuogopwa Kwame ndio inafanya Rwanda kuchanja mbuga kwenye maendeleo amani utulivu na usalama.
 
Back
Top Bottom