..msaada wa EU, USA, kwenda kwa Rwanda hauna tofauti na msaada tunaopokea Tanzania.
..misaada hiyo inapitia mikono na mikonda ya kiserikali na kibunge kwa hiyo ni lazima ionekane, na iweze kukaguliwa.
..kwa msingi huo serikali za EU, USA, hazihusiki ktk kufadhili vita vya DRC. Zingekuwa zinahusika wananchi wa nchi hizo wangefahamishwa, na dunia ingefahamu, kama ilivyo kwa vita vya UKRAINE.
..kinachoendelea mashariki ya DRC ni sawasawa na UMAFIA / CARTEL ambao unahusisha biashara haramu, makundi yenye silaha, na viongozi wa inteligensia na jeshi wa Rwanda na Uganda.