Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hilo anguko halitatokea,ni ndoto za alinachaKiburi cha Kagame kinampeleka kubaya. Naliona anguko lake sababu kwa sasa ameconcentrate na ishu ya Congo kwake ndani kuna moto akija kustuka itakuwa imekula kwake.
Sawa banyamulenge.Hilo anguko halitatokea,ni ndoto za alinacha
Ni wakati wa Wacongo wote walio kote dunia kuungana ili kuokoa Nchi yao kwa udi na Uvumba.📌🔨Hizi danadana za kuacha kuishughulikia Rwanda zinaletwa na nani na kwanini?
Nawapongeza Raia wa Congo kwa kuamua kupiga kiberiti balozi zote zilizo nchini humo, maana Inajua kila kitu kuhusu jambo hili lakini zimenyamaza.
Dunia isitupotezee muda, maana ni dhahiri inaunga mkono uvamizi wa Rwanda nchi Congo.
Ni wakati wa Wacongo wote walio kote dunia kuungana ili kuokoa Nchi yao kwa udi na Uvumba.
Ma~Rais DhaifuHizi danadana za kuacha kuishughulikia Rwanda zinaletwa na nani na kwanini?
Nawapongeza Raia wa Congo kwa kuamua kupiga kiberiti balozi zote zilizo nchini humo, maana Inajua kila kitu kuhusu jambo hili lakini zimenyamaza.
Dunia isitupotezee muda, maana ni dhahiri inaunga mkono uvamizi wa Rwanda nchi Congo.
Ni wakati wa Wacongo wote walio kote dunia kuungana ili kuokoa Nchi yao kwa udi na Uvumba.
Hakuna utawala uliodumu milele.Hilo anguko halitatokea,ni ndoto za alinacha
Hata Hamas walikuwa na kichwa kama chakoHilo anguko halitatokea,ni ndoto za alinacha
Waambie waingie kichwa kichwa sasaHata Hamas walikuwa na kichwa kama chako
Hiyo halitatokea,waingie front kichwa kichwa wakaaibikeKiburi cha kagame kitasababisha anguko lake kama lile la gadaffi 2011
Hizi danadana za kuacha kuishughulikia Rwanda zinaletwa na nani na kwanini?
Nawapongeza Raia wa Congo kwa kuamua kupiga kiberiti balozi zote zilizo nchini humo, maana Inajua kila kitu kuhusu jambo hili lakini zimenyamaza.
Dunia isitupotezee muda, maana ni dhahiri inaunga mkono uvamizi wa Rwanda nchi Congo.
Ni wakati wa Wacongo wote walio kote dunia kuungana ili kuokoa Nchi yao kwa udi na Uvumba.
UK na Wajerumani ambao wanadonate mabilioni ya dollars kwa Rwanda wamechomoa waya kabakia US na UE anasikilizia upepoNani wa kumfunga paka kengele
Nchi zote za SADC zikiungana ziishindwe Rwanda?? Labda kama Kuna taifa kubwa la Dunia ya kwanza lipo nyuma yakeHiyo halitatokea,waingie front kichwa kichwa wakaaibike
Pesa anazopewa km msaada na mataifa ya UK, Germany n USA bila kuwasahau UE kwa ujumla ndio zinamtia kiburiKagame ana pesa nyingi mno kwa ajili ya vita.