Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
-
- #21
Nipo hapa kwenye mahafali, na naona dogo ndyo kola yake imekaa vizuri kuliko wote, wegine kola zao zimebana sana mpaka shingoniVazi la juu wameharibu muundo wa kora.
Ingekuwa na muundo wa V ingependeza sana,ila hapo mtu anakuwa kama chef/ mpishi. Designer kazingua hapo tu,ila unyama mwingi.
Vyema sana mkuuKawaka unique style
Hivi viatu kila nguo inafaa kuvalia, kasoro kanzu tuAmewaka, imetiki .
Mie naswali tu Kwa wadau..hivi hizo Air force zenu zinafaa Surual za aina gan?? Kitambaa ? Kadeti Nzito? Jinsi?. Mashati zinakubali?.
Amen ππMungu azidi kumtumza ili atimize malengo yake
ni heri maana wakisema waende na vyakwao mtaona kila mpasuko huko itakuwa si sherehe tena bali ni onyesho la mipasuko ama momonyoko..Walimu wao ndyo wamesema wavae hivyo
Lakini wote wamependeza sana, Pia Dogo kapewa zawadi ya mwanafunzi mwenye nidhamu, hakika tumefurahi sana.ni heri maana wakisema waende na vyakwao mtaona kila mpasuko huko itakuwa si sherehe tena bali ni onyesho la mipasuko ama momonyoko..
Kipo sawa, nadhani kimekuwa hivyo sababu ameshika hapoMkuu vipi kidole chake kiko poa au alijibana na mlango?
Uzi wote wewe pekeyako ndyo umesema hajapendeza ππCode mbayaa, na hata dogo lako hajapendezaaa.
Ukweli mchunguu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Madam Sasa kwanini nivunje watu mbavu? Kwani fundi kaboronga sana au?ππ!
Umeamua kuvunja mbavu watu hahahaha