Ikiwa leo shule mbalimbali zipo katika mahafali, wadau wa mavazi toeni maoni yenu kuhusu huu mtindo

Ikiwa leo shule mbalimbali zipo katika mahafali, wadau wa mavazi toeni maoni yenu kuhusu huu mtindo

Vazi la juu wameharibu muundo wa kora.

Ingekuwa na muundo wa V ingependeza sana,ila hapo mtu anakuwa kama chef/ mpishi. Designer kazingua hapo tu,ila unyama mwingi.
Nipo hapa kwenye mahafali, na naona dogo ndyo kola yake imekaa vizuri kuliko wote, wegine kola zao zimebana sana mpaka shingoni
 
Amewaka, imetiki .

Mie naswali tu Kwa wadau..hivi hizo Air force zenu zinafaa Surual za aina gan?? Kitambaa ? Kadeti Nzito? Jinsi?. Mashati zinakubali?.
Hivi viatu kila nguo inafaa kuvalia, kasoro kanzu tu
 
ni heri maana wakisema waende na vyakwao mtaona kila mpasuko huko itakuwa si sherehe tena bali ni onyesho la mipasuko ama momonyoko..
Lakini wote wamependeza sana, Pia Dogo kapewa zawadi ya mwanafunzi mwenye nidhamu, hakika tumefurahi sana.
 
Code mbayaa, na hata dogo lako hajapendezaaa.
Ukweli mchunguu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Code mbayaa, na hata dogo lako hajapendezaaa.
Ukweli mchunguu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzi wote wewe pekeyako ndyo umesema hajapendeza 😂😂

Sikubaliani na hilo
 
😄😄!

Umeamua kuvunja mbavu watu hahahaha

Katokelezea mwaya


Inapendeza sana kutanua mapafu sometimes

Cc Smart911
 
Back
Top Bottom