City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
Kuna michango ya wadau mpaka unabaki unashangaa.Kama ni hivyo basi huyu Mbowe yuko juu ya serikali yote ya CCM kiasi anaua watu na kuisingizia serikali nayo serikali inamgwaya huyu Mbowe ni mtu very powerful hadi kaiweka serikali ya CCM mfukoni mwake.