Ikiwa Mbowe hakukamatwa kwa sababu ya Kongamano la Katiba Mpya, wengine wameshikiliwa kwa kosa gani?

Uongo wa polisi ni wa kitoto sana, hii mbinu ya kuwapa watu mashtaka ya uongo ni ya kizamani sana, naamini Mbowe ataendelea kuwa jasiri asieyumbishwa kama kawaida yake.
Inavyoonekana ni mkakati wa mwendazake na TISS uliokuwa mezani wa kudeal na wapinzani baada ya uchaguzi kwisha, sasa mama anautekeleza tu, maana kulikuwepo na taarifa kuwa lisu walitaka kumpa kesi ya uhaini.
 
Mbona wewe the real and only Mwamba alipokufa ulifurahi? Acha nasi tufurahie jamaa kuwa lupango. Huu ni mpango wa mungu kuadhibu wote waliofurahia masiha JPM kufariki. Wahi kupeleka chakula cha jioni lupango usije ukaachika bure
unaweza kuweka ushahidi hapa wa mimi kufurahia kufa kwa Magufuli ?
 
Hivi mama samia alipompa salamu za pole juzi ina maana alikuwa ana mpa pole gaidi?hapa ndio nashindwa kuelewa
 
Hapana sio Katiba Polisi wamesema Mbowe Gaidi kwa Sabaya mlisema polisi wanatenda haki na DPP Safi anaupiga mwingi kwa Mbowe mnasema kaonewa sasa jamani polisi ni wale wale hawajabadilika tuwasifie Kama kwa Sabaya.
 
kwa uzoefu wako hapa jf unapaswa kujikita kwenye hoja
 
Inavyoonekana ni mkakati wa mwendazake na TISS uliokuwa mezani wa kudeal na wapinzani baada ya uchaguzi kwisha, sasa mama anautekeleza tu, maana kulikuwepo na taarifa kuwa lisu walitaka kumpa kesi ya uhaini.
majeda yako kzn ukiona jeda analia jua kuna jambo yatasafisha wajuaji woote
 
MiBavicha na michadema imewekwa kwenye kona lenye joto na inahaha kwa mhaho. Mechi ndio imeanza mnakabiwa juu...
 
Wameumganishwa kwenye makosa, sababu walikua eneo la tukio...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…