Ikiwa mission ya COVID-19 ni kupunguza watu, basi Demokrasia na haki za binadamu za kijinga zinatia umasikini

Ikiwa mission ya COVID-19 ni kupunguza watu, basi Demokrasia na haki za binadamu za kijinga zinatia umasikini

Kilombelo

Member
Joined
May 27, 2021
Posts
98
Reaction score
127
Kama kweli mission ya covd ni kupunguza ongezeko la watu Duniani, basi huo ni mpango wa kidicteta uliopitiliza

Kwa sababu mission hii, haibagui wema wala majambazi!

Ninachotaka kusema, Wakubwa wa Dunia hii ni watu wanaocheza na akili zetu ili tusitoke mahali pa kuombaomba misaada kwao na kuishia masikini wa kutupwa

Wametulazimisha tuishi na wavunja sheria, waizi, mafisadi, mandamano yasiyo na kichwa wala mguu, haki za mashoga na magaidi kwa kisingizio cha haki za binadamu na Demokrasia

Lakini wao wakipanga mission zao huwa hazimsikilizi mtu mwema wala mbaya, ni fagio la chuma

Ninazionya nchi hizi zinaoendekeza kitu kinaitwa Demokrasia na haki za binadamu, zipuuze jambo hilo, watunge sheria kali za kudhibiti vikali watu wala rushwa, fisadi, magaidi,wezi, wahujumu uchumi, na wavunja sheria wote kwa shiria za kuwatia kitanzi bila huruma na mbele ya watu,

Embu tuambizaneni ukweli ingawa wengi kwenye kitu inaitwa Demokrasia na haki za binadamu mnaneemeka, Ni nchi gani itapiga hatua kwa kuvumilia vitendo vya kifisadi, uzembe, ugaidi, wizi wa fedha za wananchi, uhujumu uchumi kwa kigezo cha haki za binadamu eti wapewe nafasi wajitetetee?

Ni nchi gani itaendelea ikiwa kiongozi mkuu wa nchi naye atajihusisha katika kupora mali za wanachi, na kibaya zaidi anakwiba na kwenda kuwekeza nchi za nje huko, tena sheria ambazo nchi inapaswa itungwe, ni ya kumfanya kiongozi awe kioo na awe wa kwanza kutiwa kitanzi ikiwa atakwiba mali za wananchi,Hii inaitwa, kiongozi kuonyesha njia

Viongozi wanakuwa majizi na mafisadi, hayawezi kushitakiwa wala kuadhibiwa, Hizi Deomkrasia hizi zinawafanya watu waone kila kosa ni lepesi, kwani wanaamini hata wakiiiba na ushahidi ukawepo, bado watapelekwa mahakamani ili wakatoe rushwa na hatimaye washinde, nchi itajinasua kweli?

Demokrasia na haki za binadamu ni nzuri kwa watu wema, ila kwa wachochea vurugu, magaidi, wezi, wala rushwa, wazembe, wauwaji n.k ni kuendelea kuiweka jamii katika wimbi la umasikini mkubwa
 
Demokrasia ni uhuru wa kufanya mambo yaliyoruhusiwa kisheria kama nchi, lakini hizi haki za binadamu ni mashinikizo na tamaduni za watu walioasi kwa MUNGU

Hao watu na sheria zao, ni wanataka wawe huru kushinda hata amri za MUNGU, Ni watetezi wa mambo yote maovu, na saa nyingine, ni wachezeshaji wazuri wa sheria za nchi
 
Wametulazimisha tuishi na wavunja sheria, waizi, mafisadi, mandamano yasiyo na kichwa wala mguu, haki za mashoga na magaidi kwa kisingizio cha haki za binadamu na Demokrasia
Umeandika ujinga
 
Back
Top Bottom